Recent content by Kyunti50

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Nahitaji kununua nazi ila sijajua soko gani hapa Dar nitapata kwa bei nzuri. Msaada kwa anaejua. ======= Pitia link hii. Biashara ya nazi from Mafia to Dar - JamiiForums
  2. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Hello Dada, pole kwa usumbufu, huku kwenye thread ukitoa order Ni ngumu kuiona, mara chache mtu anaingia. Tumetoa na namba ya simu na whatssap maalumu kwa kupokea order za wateja. Samahani kwa usumbufu na kukosa maharage yetu na chapati. No mategemeo yetu utatoa order kwetu tena.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Dada yanatosha kabisa kwa watu hata wanne kwa milo uliyotaja Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Kipindi hiki cha corona na quarantine, budgeting Ni muhimu kwasababu hatujui hii hali itaisha lini, ni muhimu kutumia kwa umakini hasa kwa kutumia kwa maharage yaliyochemshwa teyari inakupunguzia matumizi ya nishati, na kwa kuletewa mpaka mlangoni unakuwa salama zaidi kwa kupunguza safari zisizo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Yaliyochemshwa boss Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania I need information about this laptop

    Thanks boss Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania I need information about this laptop

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Faida inategemea maharage unayapata wapi na kwa bei gani. Yellow beans tunalima, na soya ndio tunanunua. Agiza maharage yaliyochemshwa teyari kutoka kwetu, usijali sana faida gani tuipatayo sisi, ila nakuhakikishia faida uipatyo wewe ni kubwa zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania I need information about this laptop

    Kwa specifications hizo unaweza kujua Bei yake boss Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania I need information about this laptop

    Graphics, unaweza Jua Bei yake Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania I need information about this laptop

    Would you know specifications of such a laptop napata for how much? HP celeron 1.6ghz,4gbram,500harddisk, 15.6 screen, webcam, wifi, bluetooth Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Asante dada kwa kuwa mteja wetu mzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Kwa Sasa tupo Dar, tarehe 17 May tunaanza Moshi na Arusha. Mikoa mingine tutaenda kutegemeana na hali ya corona itakavyokuwa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Hujakosea mdau, yetu ni ubora, usafi, packaging na bila kusahau ujazo. Na tunakuletea mpaka ulipo. Karibu ujaribu yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Q Beans: Maharage yaliyochemshwa mlangoni kwako

    Nimeona na teyari yupo anapelekewa Dada. Asante kwa kuendelea Kuwa mteja wetu mzuri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom