Recent content by Kyuku Lilu

  1. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Sielewi kuhusu 5000 years civilization ya wachina, wahindi, arabs, persians &co.!

    Naanza mara moja, kama vile wewe ulivyodadisi miaka 5000 ya Near East and their Civilization. Niliwahi kusema hapa hapa JF kuwa hawa Wazungu waliwahi ktk miaka nyuma, hasa karne ya 18 na ya 19, kuwa walipoteza mabilioni ya fedha zao na muda wao mwingi yaani miaka mingi ktk kufuatilia na kudadisi...
  2. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Mheshimiwa, juu ya umri wa dunia yetu hii, ili kufahamu umri huo, ni budi kwanza kujiuliza maswali kadhaa. Baadhi ya maswali haya ni, je dunia yetu hii ilizaliwa toka kwa nani? Na hii mimba nani aliitunga? Ilikuwaje? JE, hivi wakatiedunia ikizaliwa si ni lazima ianze kukua? Na ilipofikia umri...
  3. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Kenya Inatuingiza Utumwani Afrika Mashariki? Ni Climate Lab Ya Israel , Na Vita Vya Kisasa Ambavyo Wanasiasa Hawavijui

    Ni kweli naungana nawe. Bahati mbaya sana, kwetu hapa TANZANIA, kipeombele cha Kitaifa siietechnolojia, tazama kuanzia umrie wa teenagers, rikakati, wazee, wasomi na wanasiasa wote kwa ujumla wao wote akili zetu zimekita ktk mijadala isiyo tija, Sera zinzotengenezwa, ni madudi tupu. Data na...
  4. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

    Sangamwalugesha, kweli upumbavu umekujaa kichwani, uchawa tu huo. Unajifanya kujua sana! Kwani wewe na M/MUNGU ni nani mwenye kumjua binadamu, MUNGU mwenyewe huu usawa hakuuweka. Iweje wewe leo kiumbe dhaifu, hujui mbele wala nyuma. Mitume wote wanaume, pia hata hili hulijui? Uingereza nchi ya...
  5. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mtu mweusi alipata laana badala ya kuchungulia utupu wa Baba yake ?

    Za muda huu Wana JF, Sii kweli kuwa mtu mweusi alipata laana kwa kumchungulia babaake. Hizo hadithi huwa mnazitoa wapi? Ndani ya biblia? Je, wafahamu chanzo cha biblia? Kama haujui, Tafadhali nakuomba fanya utafiti mdogo bila ya kuegemea dini yoyote. Fatilia watafiti wa mambo Kale, hasa wale...
  6. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Madhara ya uchawa

    Ndg. sii kweli kuwa tunatumia kuni kwa kupikia vyakula vyetu vigumu, pointi ni umaskini. Huko ulaya, na sehemu zingine duniani wanavyo vyakula vigumu na wanavipika kwa hiyo hiyo gas, pia na kwa kutumia umeme. Kwao gas na umeme sii aghali kama hapa kwetu. Ni aghali kwa sababu ya ubambikiaji wa...
  7. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Mh. Pasco, naona kweli sasa umeamza kuwa mzee. Ukiendelea hivi hivi, ukiondoa woga na vitu vingine, sasa huko mbeleni utakuwa MZEE mwenyewe "HEKIMA na BUSARA" Basi, kwako na wengine, ombi langu ni : 1. Naomba tuwekeeni nakala ya"Rasimu ya Katiba ya WARIOBA (Mzee Joseph Warioba et Al) 2. Nakala...
  8. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema atangaza kumuunga mkono Spika wa Bunge la Wananchi Celestine Simba Uenyekiti BAWACHA Taifa

    Ndg. Shotocan, jina "Celestine" ni gender free, jina hili limetoka kwa Walatini)Kilatin. Maana yake "heavenly" kama sijakosea. Hivyo Wa-Faransa wakalitohoa zaidi kama linavyoonekana sasa. Hebu rudi kwenye majina katika biblia uyasone yote utayapata pamoja na maana zake. ( NB: "Cha - Muzungu...
  9. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

    Ama kweli Mr. Pas, nimeamini kumbe uchawa mtu huzaliwa nao, huanza tangu akiwà tumboni, akinyonya, akicheza chandimu, kijana, chuoni hadi akiwa Mzee! Hivi kwa nini uchawa usiwe sehemu ya dhambi na tuiogope kama ukoma? Pas, sasa wewe ni mtu mzima/mzee, acha hiyo. Ama kweli, RIP...
  10. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kufufua Tanzania International Petroleum Refinery (Tiper)?

    Mh. Mwanamichakato, sijui nikuite ni mzalendo, ama umekuwa na mawazo ya kizalendo. Ni kweli tukiwa na petroleum refinery industry yetu, hakika tutapunguza sehumu kubwa sana ya gharama za uagizaji wa petroli, dizeli, oil pamoja na bidhaa mbali mbali zitokanazo na usafishaji wa crude oil...
  11. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mtu asiye kawaida anayeweza kuiamini hii tume ya uchaguzi isiyo huru

    Mleta Mada, Ahsante sana kwa kuona mbali sana. Hili swali lipo vichwani mwa WATANGANYIKA kadhaa waliojipambanua toka miongoni mwa Wa -DANGANYIKA. Mchangiaji mwingine kasema sasa tufanye nini? Mie nasema, Je, kama wewe una akili kamili ni sii zuzu, ukadanganywa kwamba "fuata njia hii ni salama...
  12. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

    Mh. Pascal, wewe ni mwandishi wa habari mahiri tena mzoefu wa siku nyingi, tena za kitafiti na za kipelekezi, pia ni mwanasheria mzuri tu, hebu naomba sana ututengenezee kikideo kenye mambo ya"Mutatis na Mutandis" hasa kakihusu wakati wa nyuma kidogo, enzi za mwalimu na enzi za Mwinyi, hasa kule...
  13. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Sii vibaya sana kufikiri nje box, ni hatua nzuri, lakini ingia ndani zaidi Ili kujua chanzo chote cha ustaarabu huu, dini hizi nk. Kiufupi ni kuwa dunia ilianza na dini zilianzia ktk ustaarabu wa jamii, ya Wasumeriani, hawa waliamdika historia ya jinsi dunia ilivyotengenezeka, binadamu alivyo...
  14. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya mwanachama wa CCM na CHADEMA ni vitu viwili tofauti, huyo mwingine lazima tuhangaike naye!

    Ni sahihi kabisa, kwa sababu shetwani akimkosea mwanadamu, na kesi hiyo ikapelekwa kwa jaji shetwani, matokeo yake wajaua yatakuwaje? Kwetu sisi Wa Matumbi huwa tuna usemi wetu wa kesi ya nyani ukampelekea shitaka tumbili/ngedere unategemea hukumu itakuwaje? Lakini, wengine huwa tuna imani kuwa...
  15. Kyuku Lilu

    JamiiForums Tanzania TRA: Hatuhusiki na ukusanyaji wa Kodi kupitia LUKU

    Haya ni maajabu ya..........TRA, wakusanya kodi ktk SERIKALI ya TANGANYIKA/TANZANIA, leo wanakataa kuhusika, looh! Hayaetitegemee kuambiwa sasa kuwa walioamua kupandisha Kodi ya MAJENGO kuwa ni El shabaab wa SOMALIA au ISIS wa wapi vilee? Au watasema DP WORLD wa DUBEI, au mfalme wa SAUD ARABIA...
Back
Top Bottom