Majimbo yagawanywe, halmashauri zigawanywe, wilaya zigawangwe, Mikoa igawanywe. Kila kitu kugawa tu hadi mwishowe tutaligawa hata jina lenyewe Tanzania
Upuuzi tu! Watanzania tunapenda sana kazi za kula na kuishi kijanja janja.
Hivi Mkuu wa Wilaya anaweza kusimamia Wilaya ila Mbunge hawezi kuwakilisha Wilaya! Upuuzi, upuuuzi
Tayari lipo. Na tusipojipanga vyema tutakuja kuwa kama India. Mtindo wa kuwa na matajiri wachache na maskini wa kupindukia wanaoishi kwa kuomba omba na kulala barabarani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.