Kusudi lao nikuiuwa cuf zanzibar lakini wanasahau kuiuwa kwao cuf ni kuinufaisha ukawa maana uchaguz ujao sidhani kama wabunge waliogombea kupitia cuf watarudi kugombea kupitia cuf tena maana nadhan wanataman muula uishe wahame atakosa wabunge na kuinufaisha chadema hawafikiri
Hata kama ni kupisha mradi wangewalipa fidia waondoke wanawatesa bila hatia watoto hao wanaumia baridi kweli mungu walinde hatoto hao jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.