Recent content by Kylan

  1. Kylan

    Jinsi ya kuthibitisha PIN Google Adsense

    Mzigo haupotei unaenda ofisini kwao wanauchukua wanakupatia na sio mizigo yote inaweza kaa kwenye vile vibox, ni mizigo midogo midogo kama bahasha na box moja haliwezi milikiwa na mtu mmoja au taasisi moja linawekuwa na watu wengi, kinachotofautisha ni majina tu ya hiyo anwani.
  2. Kylan

    Live streaming bora kwa channel za Tanzania

    Hivi apo anahitaji aina gani ya leseni?
  3. Kylan

    Jinsi ya kuthibitisha PIN Google Adsense

    Active kwa maana ya linalolipiwa na mtu au shirika fulani ambapo wanakuwa na funguo kabisa? Kwa ufupi masanduku yote ni active kwa sababu wanaoyamiliki ni wao posta na wanafunguo zote. Mi huwa natumia 141 kwa sababu ni sanduku nililokuwa nikilitumi toka nikisoma nikalifanya kama langu japo...
  4. Kylan

    Jinsi ya kuthibitisha PIN Google Adsense

    Lakini mi navyofahamu sanduku la posta ni kama kituo cha mzigo wako kufikia, sio lazima umiliki sanduku. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua posta unayotaka kupokelea hiyo barua. Mfano kama hiyo posta ipo Ubungo basi unachagua namba ya sanduku tu kwa mfano 100 na anwani yako itasomeka kama...
  5. Kylan

    Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

    Ubarikiwe sana mkuu, kuhusu mawasiliano @Queen of Sheba alinipatia hapo juu. Niliwasiliana nao na mambo yanaenda vizuri.
  6. Kylan

    Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

    Nimefanikiwa kuwasiliana nao ubarikiwe[emoji122]
  7. Kylan

    Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

    Nina dogo kachaguliwa mtwara human resource, naomba unisaidie ndugu abc za nini kinahitajika hasa ada au join instruction kama unayo.
  8. Kylan

    Msaada-namna ya kurudisha account yangu ya Twiter

    Unawaze, ila hakikisha unaaccess nayo kiurahisi, ili likitokea tatizo wakataka kukutumia code iwe rahisi kuzipata
  9. Kylan

    Msaada-namna ya kurudisha account yangu ya Twiter

    Appeal tu wanairudisha, wakikutaka utumie namba ya simu tumia ambayo hujawai itumia
  10. Kylan

    Msaada-namna ya kurudisha account yangu ya Twiter

    Hiyo account imezuiwa, ingia twitter help center uka appeal watairudisha japo inawachukua muda kidogo kuirudisha. Afu pia twitter hawaruhusu kutumia namba ya simu kwa akaunti zaidi ya moja, ukilazimisha wanakublock. Kama unatengeneza akaunti nyingine tumia namba nyingine ambaya haijawai tumika...
Back
Top Bottom