Recent content by Kyeli Lula

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa boko

    Weka gharama zake Mkuu!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka kuhusu baba wa diamond

    Jiji nasikia baba wa Diamond alikuwa Mnyiramba, huyo anayedai ni kabila gani?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la ABOOD toka Morogoro

    Hapo penye bold umenichekesha sana babu kijana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha. . . .

    Hapo ongezea Kongosho na watoto je waliofanana na baba au mama nao inakuwaje ili kupoteza kumbukumbu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wasichana huwa wanaanza kutulia na mpz mmoja wakiwa katika umri gani?

    kama wanaume walivyozaliwa na baba mmoja na mama mmoja
  6. K

    JamiiForums Tanzania Teddy Kalonga TK apata mtoto wa kike

  7. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    nasubiri kwa hamu aje akanushe Kaka sio kitu unaweza kukitungia uongokama unavyofikiri ili nipate faida gani, au sifa gani kuna vit vinaumiza kwenye mahusiano
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    Husninyo mzizi wa tatizo nitaeleza siku nyingine sio leo, na hata nikieleza watasema wanataka upande wa pili, leo nimetoa hili kwanza mamii nahitaji msaada waq mawazo tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    usilolijua ni sawa na usiku wa giza, alishawahi kuwachukua watoto na kuwapeleka nisikokujua miaka miwili, nilipeleleza nikajua wanakosoma nikaenda ile shule HM akaniambia wale watoto hawana mama yule bwana alimweleza mama yao alishakufa, baadaye watoto walimsumbua alinifuata akanikabidhi watoto...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    unaelewa nilichokiongea au unaanza tu mashambulizi nimekuudhi na nini, una ona raha mtoto kukosa nafasi ya kusoma kwa ajili ya tu baba ana chuki dhidi ya mama?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    BMP baba amehusishwa na anajiweza kiuchumi sana, tatizo liko ananikomoa na kutafuta kuniumiza kupitia mtoto, ana uwezo mara 100 yangu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    asante Kaka bujibuji nyumba zinaficha mambo mengi, kama tungekuwa tunaishi porini kama wanyama sijui ingekuwaje
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    hata nikielezea chanzo utasema unataka kusikia kutoka upande wa pili naomba ushauri kwa hili kwanza lililojitokeza
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wapendwa nimfanyaje huyu X husband

    kweli kabisa Husninyo
Back
Top Bottom