Recent content by kyaukke

  1. K

    duka gani ntapata RS232 cable?

    Ama kweli jamii forum ni Google ya tz
  2. K

    Nahitaji gari Toyota Brevis- kwa wanaofahamu hii gari

    Nashukuru kwa ushauri mkuu
  3. K

    Nahitaji gari Toyota Brevis- kwa wanaofahamu hii gari

    Nashukuru kwa commente, sijapata mrejesho Wa swala nililoliomba
  4. K

    Nahitaji gari Toyota Brevis- kwa wanaofahamu hii gari

    mkuu holygrail nashukuru kwa mawazo yako, nadhani wewe ni mzoefu zaidi katika maswala ya magari,naona hiyo gari Is not good. Pia mkuu mimi ni kijana Nina miaka mingi bado kupata kiinua mgongo mkuu. ok
  5. K

    Nahitaji gari Toyota Brevis- kwa wanaofahamu hii gari

    Wakuu naomba kupewa uzoefu kwa wenye gari za Toyota Brevis ninataka kuchukua hii gari hapa je Zina matatizo yoyote. Nainunua hapa dar je kuagiza kuna unafuu? Asante kwa mawazo
  6. K

    Nokia kutengeneza Simu zinazotumia technologia ya Androids including OS ya windows

    mkuu nakupa like, mimi ni mnazi Wa NOKIA na Kama NOKIA watatoa simu inayotumia technologia ya androids basi soko lake litakuwa kubwa. Nimependa ulivyotoa darasa nadhani wamekuelewa vizuri. Tusubiri mda si mrefu wata release NOKIA NOMANDRY inayotumia Android OS
  7. K

    Nokia kutengeneza Simu zinazotumia technologia ya Androids including OS ya windows

    Mimi ni mpenzi wa simu za Nokia na kuna tetesi kwamba Nokia wapo mbioni kutengeneza simu zinazotumia technolojia ya Androids. Is a good news for Nokia users. Mimi binafsi natumia smartphone za Nokia but though wapo in closed ecosystem simu zao ni imara sana na surface finishing is good compare...
  8. K

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Sio vizuri kutoa kauli za kashfa
  9. K

    Naomba kusaidiwa Standing Order for public services nimeitafuta katika mitando yote sijapata

    Nashukuru lakini nimejaribu link hii imeshindikana. Katika ile post No 10ya Sulemyn imekubali, Nawashukuru sana
  10. K

    Naomba kusaidiwa Standing Order for public services nimeitafuta katika mitando yote sijapata

    Hii link nimeitumia lakini hairespond nimefanikiwa kuipata katika post no 10
Back
Top Bottom