Huwezi kulinganisha mlinzi wa Mali za wenyewe na mwizi, mtu asiye na misimamo katika kile anachokiamini.
Bali anafanya maamuzi kulingana na kutetea tumbo lake au la wale waliomtuma. Mbona hili liko wapi kabisa. Halihitaji propaganda kama za mtoa mada.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums...
Tanesco wilaya ya kigamboni mbona mmetelekeza mradi wa U meme mchikichini kata ya somangira. Mradi ulianza tangu 2015 nguzo ziliwekwa zikachimbiwa 2016, kisha baadae 2017 nyaya zikatandazwa na wananchi tukaambiwa tujiandae kufanya wiring na kujaza fomu za maombi lkn mpaka Leo kimya. Tumesubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.