Recent content by kwondeboy

  1. kwondeboy

    Je, Biashara ya kuchonga funguo ni haramu?

    Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  2. kwondeboy

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    [emoji23][emoji23] mimi waga nasomaga tu sijawah comment kitu na saiv ndo naona story ishaanza kunilevyaaa Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  3. kwondeboy

    Shipping Agent gani yuko vizuri kutoa mzigo China - Tanzania kati ya Shamwaa na Silent Ocean?

    Sawa mkuu nimekuelewaaa hv hata mimi nilikua nawawazia silent ocean Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  4. kwondeboy

    Shipping Agent gani yuko vizuri kutoa mzigo China - Tanzania kati ya Shamwaa na Silent Ocean?

    Nawasalimu wana jf popote mlipo na heshima kwenu, Naombeni msaada katika kutafta giant shipping company nimepata hao wawili lengo langu kuna mzigo. Nataka ufike ndani ya siku 40 Je ni yupi kati ya hao uhakika zaid au kama kuna shipiping agent mwingine mnipe ramani jamani mjini hapa lazma...
  5. kwondeboy

    Nataka nifungue gaming centre, mambo yapi nizingatie

    Umeeleza vizuri mpango kazi ila.pia ni vizuri zaidi ukaweka wazi utatumia tv inch ngapii, na playstation gani ambazo ambazo.unapanga kuanzanazo na pia ni games zipi ambazo unaona utaanza nazo cos game zingine zinaharibu sana padi na eneo ulilolenga biashara liko na watu wa aina gani so haya yote...
  6. kwondeboy

    Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    rasta tafuta chimbo kariakoo kanunue huko maana kiwandani wanatoa ila kuanzia 5m+
  7. kwondeboy

    Niuzieni Pikipiki, nipo Dodoma

    Nahitaji pikipiki boxer iliyonyooka sanaaa Tena haswaa ikiwa 125cc itapendeza zaid ila iwe imenyoooka mno nipigie kwa 0759038258 Nipo Dodoma
  8. kwondeboy

    Nisaidieni nitumie njia gani ili kupata hii bajaji ya umeme

    nimeambatanisha na picha kuna bajaj ya umeme nimeiona alibaba na nimeikubal sana hivyo nataka kuinunua japo sijajua ni njia ipi sahihi ya au nifanyaje ili iagizwe hadi kwangu natanguliza heshima za dhati for all great thinkers in jf
  9. kwondeboy

    Kampuni ipi ina betri nzuri za simu au nini cha kuangalia kujua betri yenye ubora?

    Upande wa simu kukaa na charge nimewakubali sanaa oppo mpate ata oppo A1K yaani mimi mcheza game na muda woote online ila charge kiboko
  10. kwondeboy

    Ushauri benki yenye fixed account nzuri

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Wakuu naomba tufahamishane benk yenye ac ambayo ukiweka hela baada ya muda Fulani wanakuongezea kiasi. [emoji120][emoji120][emoji120]
  11. kwondeboy

    Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

    Mkuu nimefuatilia lakini naona hapa ebay sawa na aliexpress ambapo unaselect bidhaa tayari shipping option ipo mfano watakwambia free shipping au via DHL na kiasi narud in case of alibaba hakuna shipping option kua watatumia DHL au free swali ni kua hapo inakuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kwondeboy

    Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

    Rejea hapo juu mimi nimeamua kujihusisha na kuagiza bidhaa kwa jumla kwa wastani ambao si zaidi ya piece 50 kwenye product ndogondogo kama saa,usb n.k. Naomba kujuzwa suala la shipping katika Alibaba linaendaje maana aliexpress unaposelect bidhaa wanakupa shipping option na bei yake lakini...
Back
Top Bottom