Recent content by kwiza

  1. K

    Hayo ndiyo mambo ya mwembe Yanga kwa kifupi juu ya sakata la Ponda

    mimi naona tamko hili ni sahihi lakini limekuwa la upendeleo sana.kwani alipouwawa mwandishi wa channel ten na ushahidi wa picha upo hakukuwa na umuhimu wa kutoa tamko au thamani ya watu inatofautiana?maazimio ni mazuri lkn msikubali kuitwa Ikulu na kuja na hoja mpya.keep it up
  2. K

    Mheshimiwa mbowe: Swali kwa waziri mkuu alhamisi ni hili!

    Wlikuwepo kabisa lakini tusiishi kwa mazoea kama walikuwa hawajui kuwa nyie mnafanya ibada na sasa wamejua unataka waendelee kushishriki ibada isiyo kuwa yao huku wanajua?Hapo ndio ulitakiwa uulize
  3. K

    Nape Nnauye: Sheria ya vyama vya siasa nchini iangaliwe tena

    huyu ndio Nape ni zaidi ya taahira
  4. K

    Tamko la wana Ngorongoro kwa waziri Kagasheki

    Ni lazima tuamke sasa.Kwa kitendo cha waziri kutowasikiliza wananchi ni dharau ya hali ya juu.Na kwa mujibu wa vifungu vya sheria alivyovitoa mwanJF hapo juu ebu tuwaunge mkono wenzetu kupinga uonevu huu.Leo kwa wenzako kesho kwako
  5. K

    NCCR- Mageuzi, PPT- Maendeleo: Uwanja wa ndege Mbeya usiitwe JK International Airport

    Nashangaa watu kutaka sifa kwa mambo yasiyo yao.Uwanja wa Mby kuitwa JK ni unafiki wkt aliyeanzisha ujenzi wake kakaa kimya.Nashauri nyie wapambe wake mngemshauri aanzishe project nyingi azipe jina lake vya mwenzie aache kama vilivyo.Tunaona iwanja vingi duniani vikiitwa kwa majina ya miji...
  6. K

    Vyeti bandia: Kikwete aanze na mawaziri wake sio wauguzi pekee

    Siku zote tegemea kucheka JK akiongea.Anajishughulisha na kibanzi ktk macho ya manesi anaacha boriti kwa mawaziri wake.Ningeona yupo serious kama angehoji orodha ya MTOKAMBALI iliyowataja mawaziri na viongozi walioghushi vyeti.Hapa alikwisha rahisishiwa kazi lkn kimya.Vp si aanze na Mulugo...
  7. K

    Suala la kufoji vyeti: Rais JK anza na waziri Mulugo!

    Du,hapa hapatoshi.Lkn naamini hili litapita kimya kilmya kama kawaida.Unakumbuka Mtokambali alivyowaanika mawaziri walioghushi?Hawakukanusha na hakuna hatua zilizochukuliwa kwasababu ukimbana mmoja atataja wengine mwisho wa siku panakuwa hakuna wa kumwajibisha mwenzake.Mulugo ameumbwa na akili...
  8. K

    Mwesiga Baregu Vs Mulugo

    hapa kweli umefananisha mlima kilimanjaro na kichuguu,hahaaaha hainogi na hujamtendea haki prof baregu
  9. K

    Mwakyembe aidanganya kamati ya Bunge kuhusu Mapato TPA, Serukamba amuumbua!

    Nafikiri tungempongeza Mwakyembe hata kwa ongezeko hilo kwani waliokuwepo walishindwaje na yeye amewezaje?Hiyo kamati mbona ni ya muda mrefu na ilishindwa kubaini upotevu wa mapata kwa tofauti hiyo?kamati kama hii ndio za kufutilia mbali zimejaa unafiki,kuangalia vijikosa tu badala ya kuona...
  10. K

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Tukitaka elimu za wabunge tukienda upande wa pili tutacheka mpaka mbavu zipasuke.Mbona mawaziri waliotajwa na Mtokambali kuwa wameghushi mpaka leo kimya?Lukuvi kaishia la NNE mpaka leo hamtakikumhoji kwanini hajajibu.Sijui kama unamfahamu Prof Majimarefu?Mary Nagu,Mulugo,Mwigulu n.k?Simtetei...
  11. K

    Waziri apigwa marufuku kutembelea jimboni kwake, katibu CCM ahaha kutafuta suluhu

    kama mmeelewa asanteni,huu ni wkt ambao hauhitaji kuambia hii ni nyeupe,ona mwenyewe
  12. K

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Hatutasikia lolote kutoka serikalini pamoja na hoja nzito za maaskofu.Kama kuna wkt tumekosa serikali basi ni huu si Rais,si waziri mkuu,si mawaziri wote bure.Kama mzee Mwinyi aliweza kukemea hawa wanashindwa nini?Hivi ni halali kwa mkristo kushiriki ibada ya muislamu kwa kuchinjiwa?Ugumu...
  13. K

    Helen Kijo-Bisimba; Dalili ya kutokea mauaji ya kimbari nchini Tanzania!

    mama Bisimba ametoa darasa la bure ambalo ilibidi washiriki walipie ada.Kwa darasa hili naamini kama tutaacha akili zetu zifanye kazi sawasawa tutaepuka matatizo aliyoyabainisha.Hivi kutoa tahadhari ni uchochezi?Nafikiri mtaalamu wa kiswahili atusaidie swala neno hili.Hongera mama Bisimba...
Back
Top Bottom