Kwani ziliendelea walianzia wapi had I kufika hapa? Ni dhahiri walianzia chini na sasa wapo juu. Mtoto mchanga anaanza ma kunyonya baadae anakula ugali! Acha unazi!
Serikali hii imeamua kuweka busara kando na kukumbatia ubashite. Kuzuia mwili wa Hayati Ndesamburo kutembezwa katika viunga vya mji wake in kujenga uadui mkubwa kati sirikali na wananchi wake. serikali ijifunze kutoka Rufiji!
Acha mawazo mgando. Dini nyingine wanachoma moto maiti, lakini wewe umekariri kuhifadhiwa kaburini tu. Halafu wengine wanawahi kuzika kutokana mazingira ya hali ya hewa, technologia, na uchumi.
Msaada
Kuna hii Sacco's inaenda kwa jina la FUCOS VICOBA kwenye mandao wa facebook na wanadai kuwa mmoja wa wamiliki wake no mh Ridhiwani Kikwete. Je hii saccos ni ya kweli au ni utapeli?
Ulivyoanza Uzi wako Mimi nilidhani unawasema akina Chenge na mkono, kumbe unamzungumzia shujaa, MTU ambaye si mnafiki, assertive na mzalendo wa kweli; Tundu Lissu!Walioifikisha nchi hii hapa ni CCM na Wabunge wake ambao walishangilia mikataba mibovu Sikh za nyuma. Na hao ndio si wazalendo.
Kama wote wapo hai na wanaweza kuchora, basis tuwape nafasi wachore tena nembo ya Taifa kisha tulinganishe na mchoro uliopo. Kwa kufanya hivyo tunaweza kujua ni nani hasa mbunifu wa nembo ya Taifa.
Nakuliana na Pasco kuwa chanzo cha matatizo yetu ni ujinga. Lakini lingine ni kukosekana uwazi(transparency) na uwajibikaji(accountability). Leo Magu anjitahidi kupiga vita ufisadi lakini wakati huo huo "anamassacare" vyombo vya habari! Sasa hapo unajiuliza kama kuna dhamira ya kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.