Habari za humu ndani?
Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani)
Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
Natumaini pasaka inaendelea vyema;
Katika picha ya kijana inayosambaa mitandaoni ikimuonesha akitumianmwanga wa taa za barabarani kujisomea umenipa maswali mengi sana hasa kwa jamii zetu nyingi hapa nchini kwa sisi watu wa chini ni ukweli usiopingika kwamba hatupendi kujihangaisha.
Maswali...
Natumaini pasaka inaendelea vyema;
Katika picha ya kijana inayosambaa mitandaoni ikimuonesha akitumianmwanga wa taa za barabarani kujisomea umenipa maswali mengi sana hasa kwa jamii zetu nyingi hapa nchini kwa sisi watu wa chini ni ukweli usiopingika kwamba hatupendi kujihangaisha.
Maswali...
Picha hapo chini ni baada ya kufutwa kwa rangi za upinde wa mvua kama ambavyo wengi tunafahamu lakinin kumbe wenzetu walikuwa na maana nyingine tofauti.
Rangi zilizochorwa kwenye mchoro uliofutwa kwenye moja ya nursery schools hapa DSM ilikuwa inatia shaka kwa baadhi ya watu waliokuwa wakipita...
Ashukuriwe Mungu wa wote ninako ka kiume kana miezi saba saivi,ni kapole kama mm kanaonekana kuwa na utulivu wa hali ya juu siku za usoni. Anachonidai kwa sasa ni mazingira yake ya elimu kwa maana ya ada halafu na malezi ya kumuongezea umakini zaidi kwa dunia ya sasa.
Mbona historia hiyohiyo inasema binadamu tumetokana na nyani lakini hatufanani na nyani tipically?
Haya mambo ukihoji sana unaweza kuhisi kila kitu tunachojifunza kutokana na historia ni uongo kutokana na kuwa maswali mengi hayana uthibitisho bayana.
Kwahyo nakushauri tuendelee kuishi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.