Recent content by kwisha

  1. kwisha

    JamiiForums Tanzania Wanadamu wamekuwa kama wanyama

    Utu umepotea Sana duniani wanachofanyiwa ndugu zetu ukweli kinauma Sana Siku hizi Nairobi Rais Ruto Alipokuwa trump pamoja na ubabe wake wake ila ndani yake Kuna hisia za kikatili Sasa afaghanistan waislam wa kule wamekuwa wakiishi maisha Yao binafsi Tariki 29 za mwezi wa kumi 2025 kundu zetu...
  2. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, unajua distraction ndio adui mkubwa wa maisha yako ?

    Wewe Mpuuzi najua unachowaza 😃😃😃 destruction mkubwa wewe
  3. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, unajua distraction ndio adui mkubwa wa maisha yako ?

    Na simu ndo adui mkubwa Sana japo kuwa ni msaada kwetu ila pia ni adui wa maendeleo yetu ya akili
  4. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, unajua distraction ndio adui mkubwa wa maisha yako ?

    Ili upone au kujiepusha na distraction Unatakiwa kuelewa mfumo wa akili ya mwanadamu unafanyaje kazi Kwa Ufupi akili ya mwanadamu inafanya kazi kwa kuzoea jambo fulani Ambalo jambo linakuja kwa kuona au kusikia na kuhisi Sasa ili kujiepusha na distraction unatakiwa kuzoeza akili yako...
  5. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, unajua distraction ndio adui mkubwa wa maisha yako ?

    Moja Kati ya adui kubwa Sana na wa siri ambaye inazuia watu wengi kutokufanikiwa au kutimiza malengo Yao ni distraction ni hali ambayo mtu upoteza focus yake kwa mambo mbali mbali. Mfano unaweza kuwa unasoma vitabu cha ajabu ukajikuta Tayari ana simu mkononi anaangalia Facebook au kitu chochote...
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kwanini katika hii vita israel hataki kabisa kutumia makombora ya ballistic kama Jericho 1,2,3 hii ni kombora ambalo Lina uwezo wa kubeba hata vichwa vya Nuclia Delilah cruise missile: Ina uwezo wa kuzunguka katika anga kabla ya kushambulia Spike NLOS ( Non line of sight) uwezo wake huu Ina...
  7. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nashindwa nini niamue katika situation hii

    Tatizo lake ni mgumu mno kusaidia yupo kwenye shida lakini bado ni muongo kupindukia na mbishi pamoja na mjuaji ninaweza kumwambia tufanye ili ili tukusaidie yeye anajifanya anajua mara anadanganya kuwa ataondoka kesho tena kesho unamuona Anadanganya kuwa amepata kazi ukichunguza unakuta ni...
  8. kwisha

    JamiiForums Tanzania Nashindwa nini niamue katika situation hii

    Mwaka 2017, mimi na familia yangu tulihamia Canada kwa matumaini ya maisha bora na ya utulivu. Hata hivyo, baada ya kufika, tulikumbana na changamoto kubwa kutoka kwa baadhi ya Wakongo wenzetu tuliowakuta hapa. Walitusambaratisha kupitia fitna na chuki walizozusha baada ya kuona familia yetu ni...
  9. kwisha

    JamiiForums Tanzania Ninawasiwasi na mke wangu

    Katika ndoa kuaminiana ndo nguzo kubwa ambalo linaleta mafanikio Ila katika ulimwengu wetu huu tunasema kumuamni mwanamke ni kupoteza mda na mimi apo ndipo nimesimamia mimi ni kijana nimeoa kwasasa nina miaka 3 kwenye ndoa yangu na mke wangu Lakini kuna mambo fulani ambayo sielewi kwa mke...
  10. kwisha

    JamiiForums Tanzania Amuua mzazi wake baada ya kufumaniwa

    Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya Ontario, Canada – Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa kwamba binti yake, aliyekuwa tayari kuchumbiwa rasmi, amefumaniwa akiwa na mpenzi wake wa zamani...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ili nitoke kwenye kurizika na mpenzi mmoja

    Katika maisha yangu sijui kama nimeumbwa na moyo ambao uko tofauti na wanaume wenzangu Moyo wangu umeumbwa na asili ya kurizika Kwasababu hiyo basi mimi sinaga uwazo wa kupenda au kutamani mwanamke mwingine tofauti na yule niliyenaye na ikitokea nimependana na mwanamke mwingine lazima ni msahu...
  12. kwisha

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako kwa kutumia njia hii hapa

    Nina bilioni 50 kuna kingine kiongozi
  13. kwisha

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako kwa kutumia njia hii hapa

    Wewe kichaa chat GPT iko wapi sijui kama watu wengine wanavuta bangi
  14. kwisha

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako kwa kutumia njia hii hapa

    Fanya kazi kwa bidii Ndo njia yote hakuna nyingine kijana Kwenye kufanikiwa hakuna njia za mikato Ukitaka njia njia za mikato labda uwe jambazi na mwizi
  15. kwisha

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

    Ok Ila taarifa imefika
Back
Top Bottom