Recent content by Kweyee

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiislamu Amlipua Rais Samia na Mashehe Ubwaba

    Amekaririshwa maneno mpuuzi mmoja huyu. Hakuna muislaam ambae atazungumza hivi hata siku moja. Ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilika 2021. Na sasa kuna mgogoro na tutadaiwa deni kubwa sana

    Anajitahidi kutuona watu hatuna akili. Tunakushukuru Sana kwa kutuwekea kumbukumbu vixuri. Jilipie mwenyewe Pepsi kwa mangi unywe
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mimi ninaishi mkuranga jirani tu na Dar ulitaka tutembee kwa miguu tuje hapo kawe? Tumejiorganise tukachukuwa usafiri tumekuja Kawe. Ulitaka tutumie usafiri gani ambao wewe ndio ungekuaminisha kuwa tumekuja kwa hiyari yetu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Yaani mtu awe waziri mkuu mfano kisha mwanawe awe mpuuzi Fulani! Uliona wapi!!!????
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    CCM ilipofanya mkutano wake watu walipiga kelele nyiingi za kuikebehi., hapo je?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Nilivyosema vya CCM hivyo ni vidogo, nilikuwa ni mwage hadharani mambo yanahujumu maslai ya taifa letu

    Too much anything is..................
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ipende isipende, jimbo la Tarime Mjini linaenda upinzani

    Matiko oyeeee
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

    Ukiona hivyo Kikwete kawashika pabaya kwa hiyo wanatapa tapa. Mzee wa Msoga kaza Uzi usilegeze hata kidogo tupo na wewe.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

    Kwani sasa hivi kelele za Slow slow zina impact gani Katika utawala huu?
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ameyakanyaga kwa Baba Levo huko Kigoma Mjini

    Ninachojua mimi Zito chaguo LA watu wa Kigoma.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

    Na wanetangaxa nafasi za magereza za kutosha sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Kama ni hivyo mzee wa Msoga washike hivyo hivyo usilegeze kamba. Wameshasahau kwa nini nchi hii marehem mzee Kigoma Malima mzee wa Mkamba alianzisha no za mitihani badala ya majina. Mtasema Sana mwaka huu. Mungu aendele kumpa afya njema na uhai Mama na Mzee wa Msoga.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliona mbali, alimsisitizia sana Mkapa ili JK asiwe Rais wa Tanzania, na Mkapa alipokumbushwa akajibu kila mtu ana makosa

    Kumbe na mwenzangu umepaona hapo anavyodanganya watu. Mkapa ktk moja ya hotuba zake alisema serikali itashughulikia matibabu ya mwalimu kwa gharama yeyote ile. Leo unadanganya watu kuwa serikali haikumuhudumia mwalimu!!!! Very shameful
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliona mbali, alimsisitizia sana Mkapa ili JK asiwe Rais wa Tanzania, na Mkapa alipokumbushwa akajibu kila mtu ana makosa

    Waongopee wajinga na watoto ambao hawakuwepo wakati huo! Chadema imekuwa maarufu baada ya NCCR, ikaja CUF na TLP kipindi hicho unachokisema CHADEMA haikuwa na Nguvu mpaka Kikwete apange kwenda kujiunga nacho.
Back
Top Bottom