Recent content by Kwetuntwara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Hata chaki ya kuandikia ubaoni wananunua, tuwe serious kidogo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Hiyo ni point. Nakumbuka miaka ya 1980s na mwanzoni mwa 1990s tuliongea sana kuhusu mashirika ya nje kuwekeza katika umeme ili kuwe na ushindani lakini hatukufanikiwa, kwa kuwa hakuna ushindani TANESCO wanafanya wanavyotaka.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Walimu wanapewa nini? Manake hata tuition ni marufuku
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Nilipoachiwa nchi niliogopa lakini nashukuru Rais umerudi na nchi ni salama kabisa

    Kuongoza hakuna shida na wala huumizi kichwa, kuna watu walishaumiza vichwa. Hawa ni waliobuni kanuni,taratibu na sheria za kiongoza. Labda kama mfumo unataka vinginevyo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Nchi ni yetu sote
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tupieni picha ya Kingai na Maita tuwajue

    Tupia na picha ya afande Goodluck tumwone
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Ngoja inyeshe tujue panapovuja. Kumbe polisi wamepewa madaraka mpaka ya kutesa makomandoo wa JWTZ ? Wallahi sikujua...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Waajiri wake aka wapiga kura wanatakiwa kujua hizo ratiba zingine
  9. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afungua mashitaka Umoja wa Mataifa kuhusu Haki zake wakati anakamatwa na kuendelea kubakia kizuizini

    Haswaaa wewe ndiye bwege hujielewi : unateseka hivyo mlo mmoja kwa siku huku ukilipa tozo ili waajiriwa wako uliowaajiri wapate pesa ya kupiga misele na ndege na magari ya kifahari
  10. K

    JamiiForums Tanzania Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

    Sio maji ya kunywa tu, kaomba pia kwenda haja ndogo na karuhusiwa ila kaonywa asiishie mitini
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

    Angemwita Tundu Lissu amwombe msamaha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

    Hamna ubora wowote,nilichojifunza ni kila kukicha bora ya jana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

    Maendeleo mbele ya tozo?
Back
Top Bottom