Tupieni picha ya Kingai na Maita tuwajue

Makatili sana hao,ila hata kama walitumwa kutenda hayo wajue dhambi ipo juu ya vichwa vyao. Kwa Mungu huwa hakuna collective responsibility. Unakufa na lwa kwako.
Kwahiyo, kwa mfano... nikimpa mimba mwanamke kwa bahati mbaya halafu nikamshauri akatoe nakuwa sijaishiriki hiyo dhambi?
 
Wenye picha zao tupieni ili tuwajue mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahita.jpg
Muuaji IGP Mahita. Huyu mtu ana kesi na serikali yetu, aliua sana walinzi wa mabenki na kuiba hela kibao benki bila watu/wahusika kukamatwa. Mahita ni tajiri sana na tunaoijuwa familia yake it's impossible for him kuwa bilionea kwa hela za mshahara wake tu hata angefanya kazi miaka 50. This is a KILLER.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom