Recent content by Kwetunikwetu

  1. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    We kizibo kweli.....unachangia post ya mwaka 2010 kwa mazingira ya 2016!!
  2. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii awasimamisha kazi Maofisa wa misitu

    Huku kweli ni full kukurupuka....!! Kikwetu tunasema ngoma ya mkubwa ikilia kila mtu anacheza, hata kama ni ya kipumbavu....!! Sasa, hata style ya kucheza je ni lazima iwe ya kipumbavu...??
  3. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania 'TeamLowassa' ndiyo inayoshughulikiwa, Wapinzani kufuata

    Leo umepost ujinga mtupu.....kwani Lowassa ndio alikuwa Rais wa awamu ya 4?
  4. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji "eti al - lila na fila hawatengani"

    Recently...MMJ amegeuka urojo...!! Kuna msemo kuwa 'you can be sincere and still be stupid'
  5. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka 14 - Alipo Hatupo, Tuliko Hayupo - Wasikilize na Waone Hawa

    Naona siku hizi umelainika kama kande za nazi....
  6. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye asiwe na chembe hata kidogo ya kuhisiwa kunufaika na fursa ya muda mrefu wa uongozi kati

    Naona siku hizi umekuwa laini kama kipande cha chenza....!!
  7. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Umenichekesha kweli na ujinga wako uliopitiliza.........! Haki unaijua wewe kweli......? Haki ipi unayoizungumza......CCM kweli this time wamekalia kigogo.....unakurupuka kuzungumzia makubaliano ambayo hujui yamefikiwaje...!
  8. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Hatutaki vita Tz

    Kizibwa kweli ww....
  9. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote

    Vijana wetu wanaimba huu wimbo kwenye shule nyingi tu sambamba na Mungu Ibariki na Tazama Ramani........kila asubuhi....
  10. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Haaa haaa....just a precaution mkuu....watumie kwa kufuata maelekezo vizuri....kwa vile pia hatujui risks zake...
  11. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Ni budi kuchukua tahadhari na hayo madawa.........usije kuota nywele mpaka kwenye paji la uso...!
  12. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Baba anamkataa kaka yangu anasema sio mtoto wake, nifanye nini?

    Ni jambo la kusikitisha mzee kufanya mambo ya kijinga na kujificha kwenye kichaka cha ulevi.... Ni vizuri jambo hilo kulipeleka kwa wakubwa zake waliopo na kuwaeleza kuwa wewe binafsi huridhishwi na kauli hizo kwa vile zina lengo la kudhoofisha familia.....hasa kumtukanisha mama yenu.... na pia...
  13. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV, Mgeni Dr. Bana

    Mtoa hoja nashindwa kukuelewa.....wewe ulitaka aongeaje? Nimefuatilia kipindi chote. wachangiaji wote watatu mbona wameongea facts bila ushabiki..! Kusema CCM haikufuata utaratibu wake yenyewe ndio umeona wamekosea....?
  14. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Tujadili kura 6 zilizoharika Mkutano Mkuu CCM

    Ukifuatilia yaliyojiri Nigeria kama kumbukumbu zangu ziko sawa...baada ya uchaguzi miaka ya mwanzoni mwa 80, kuna Chief Awolowo alishindwa na kukata rufani kuwa Obasanjo alimpendelea Shehu Shagari.....! Moja ya ushahidi waliotumia ni kutafutwa kura aliyopiga Obasanjo na ilipopatikana ilionesha...
  15. Kwetunikwetu

    JamiiForums Tanzania Kumbe Maofisa balozi za Tanzania nje ya nchi wanaringa hivi?

    Unazibwa kweli ww.....unawekaje maneno ambayo mwenye mada hakuweka.....soma post yake ya kwanza vizuri ndio uendelee kutukana k##@@##....!!! Kila kitu kukashifu vya kwenu......hata kwenye uongo mnakashifu tu....pumbavu wa fikra......! Omba uraia wa huko Burundi basi uhamie huko......kisa mhudumu...
Back
Top Bottom