Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo
Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
LOLC Tanzania Financial Services Limited is pleased to announce its successfully transition to LOLC Tanzania Microfinance Bank Limited
The transformation follows the granting of Microfinance Bank License by the Bank Of Tanzania Marking the a signficant milestone in the institution and its...
Ndugu wana jukwaa, Leo naomba nilete hii hoja kwenu.
Sisi waganga wa Tiba asili au waganga wa Kinyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima Kwa ajili ya Mwenge.
Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena Kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao.
Kila Mwaka...
Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu.
Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge.
Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao.
Kila Mwaka...
Baada ya bei ya nishati ya mafuta kutangazwa kupanda kwa zaidi ya Shilingi 1,000 katika maeneo mbalimbali, huku kwetu Mbeya mambo yameanza kuchangamka, daladala nyingi za hapa town zimepotea.
Wamefanya hivyo kwa kuwa LATRA walitangaza kwamba nauli za daladala zisiongezeke hadi watakapokutana na...
Siku chache zilizopita kupitia Jukwaa hili, nilileta moja ya hoja kutoka kwenye Halmashauri yangu ya Mji wa Bariadi.
https://www.jamiiforums.com/threads/halmashauri-ya-mji-wa-bariadi-imetelekeza-vifaa-vilivyonunuliwa-kwa-fedha-za-kodi-za-wananchi-hawajali-hakuna-anayeumia.2413699/
Hoja hiyo...
Kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 serikali ilitangaza kuwa imefanya marekebisho katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili iwe huru na haki.
Moja ya maeneo ni kubadilisha jina la tume hiyo na kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ambapo iliongezwa neno HURU, kuondolewa...
Anaitwa Hawa Shuma Hemedi amepotea tangu tarehe 31/01/2026, ni mzaliwa wa Kigoma amepotea akiwa Ubungo Kibangu Jijini Dar es Salaam.
Mara ya mwisho alikuwa amevaa gauni ya kitenge na kajifunga kitenge na juu kajitanda kanga, anatembea na mkongojo chini kavaa ndala za kijani, unapomuona au ukiwa...
Nimetafakari sana nikaona ujumbe wangu huu niufikishe kwenye jamii ili kama itawezekana nipate ushauri ambao unaweza kunisaidia.
Aisee! Samahani nimekuwa Mraibu wa kubet naona kama nimepitiliza aisee, maana nimebeti hadi kufikia kuwa na madeni mtaani mengi kusiko kawaida.
Mpaka kuna wakati...
Machi 23, 2022 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na unaofadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.
Kilijengwa choo cha kisasa katika Stendi Kuu ya Mabasi...
Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha.
Alipozindua Bunge la...
Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye maandamano hayo ni raia wa kigeni, kauli ambayo hata hivyo hakuithibitisha.
Alipozindua Bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.