Recent content by Kwetu Nyasa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    nipo kata ya Ligunga ukawa....cuf vitongoji 10 na ccm ni 3,kata ya namwinyu ccm wameachiwa viwili tuu wakati kata ya kalulu ccm wameachiwa vitatu.Kata ya Matemanga uchaguzi ni jtano,kuna vijitatizo vilijitokeza. Mjini ndo usiseme ukawa wamechafuaaaaaaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya NDIYO au HAPANA makubaliano ya UKAWA

    ndiyo,nakubaliana nayo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kapteni Komba asema Warioba si mwanachama halali wa CCM!

    huyu Komba anatuaibisha saana watu wa Nyasa,naona muda ushafika wa kumwonyesha kazi.Asubiri mwakani.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jerry Slaa hizi ndo siasa? Hapa umetuonesha kuwa hamjali wananchi!

    Siasa bhana.Aaaah!Shenzi type.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa aikalia kooni CCM

    Huko tuendako tutakuwa tunauana sisi kwa sisi kwa manufaa ya wao kwa wao
  6. K

    JamiiForums Tanzania MKAPA: Rais pekee aliyekataa kwao na asilia yake

    Hehehehehe.yaani ninakukataa kwetu physically alafu najifanya niko kule mentally.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda ranked 2nd in internet speed

    Penye ukweli ubaki ukweli tusiwe na wivu wa kijinga kwa kisingizio cha kumchukia Kagame.Tubadilike watanzania.Ingekuwa kwetu,tungepongeza maendeleo hayo yaliyofikiwa na wenzetu.Umasikini haupo Rwanda tu,hapa petu pia tunao.Hongereni Rwanda.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

    Hehehehehe ebwana eeh we acha tu. Hakyanani hii njaa watanzania inatupeleka pabaya haswaaaa.
Back
Top Bottom