Recent content by kwemwale

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mchechu, kama umeshindwa kazi utoke

    Nilikuwa nataka nikujibu kuhusu huu utumbo wako ulioandika nikadhani unamzungumzia NEHEMIA MCHECHU one of very young CEO whose brain ni so bright....kumbe unamzungumzia MSECHU....basi wanaomjua watakuja kumtetea kama at all an exist.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Mimi nasema WAPIGWE TUUU...kwenye maandamano haya wakindaman Waislamu na wakipigwa Virungu MICHADEMA yoote humu inashngilia. Sasa zamu yao. PIGA HAOOOO mpaka watakapokuwa na adabu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema kijiji cha mafleta-mkwakwa kata ya magila muheza ndio una anza muda huu

    We jamaa fix sana...sisi hapa Kwa Sahani..Sega mpaka Kicheba tuko bize na Ng'ongo maana msimu unakwisha huu..nani lwemye haja na mikutano yenu ya siasa. Kwemwale...now at Mto Mkulumuzi kuelekea Mbaramo from Misozwe....
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zawadi Nono kwa atakayesema hii picha ilipigwa wapi

    Mkuu Tiba.... ahsante kwa reaction ya mwanzo. Hapa ni karibu na Eastern Uganda.. on the way to Mbale...specific eneo ndio natafuta hivi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zawadi Nono kwa atakayesema hii picha ilipigwa wapi

    Hapo ni Uganda ..ngoja nikumbuke yale maeneo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Adam Malima & Kighoma Malima Ministry of Finance: LIKE FATHER LIKE SON?

    Joka kuu...it is more than MAKSI kama kigezo cha kumbeba mwanafunzi. Kwani umesahau ile kauli mbiu ya "Waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza"..sasa hapa kwenye uchaguzi ndipo mbeleko hutumika. Hii mbona ni maarufu sana..watoto wa walimu wakuu, wenyeviti wa serikali za mitaa, watoto wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Adam Malima & Kighoma Malima Ministry of Finance: LIKE FATHER LIKE SON?

    Mkuu Jokakuu..hata mimi pia nilifanya mtihani kwa namba mwaka 1989, kinachozungumzwa alicho kifanya the late Prof. Malima nikutumia utaratibu uleule wa namba mpaka kuchagua wanafunzi. Best practise ilikuwa wanafunzi wakishafanya mtihani tu..namba zao zinaunganishwa na majina ndipo selection...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Adam Malima & Kighoma Malima Ministry of Finance: LIKE FATHER LIKE SON?

    Mkuu Philemon! Alichokifanya Malima nikuhakikisha utaratibu ule ule wa kufanya mtihani kwa namba ndio utumike kwenye kuchagua watahiniwa kujiunga na kidato cha kwanza. Ilivyokuwa ikitumika..nikuwa wanafunzi wakishafanya mtihani kwa namba..matokeo yake yanawekwa majina na ndipo selection...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Kitendawili kimeshateguliwa...M2 ameshajulikana..tena mchana kweupeeeeeeeeeee!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu unasubiri nini Kujiuzulu? Umetudhalilisha

    Mimi kanichosha pale alipoomba muongozo kwa Jaji....Mh! huyu jamaa yai lake halieleweki vizuri na kwa interest ya public (muongo mkubwa...lugha gonga gonga)..naomba kwa heshima na taadhima Masando atumie Kiswahili......nyooooooooooo!, Na hii CCM wameshaipata..akianza kuropoka tu bungeni Madam...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tv imaan yapata kibali rasmi

    Point of correction....Mustafa Akunai si Muislamu ni jina tu!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tv imaan yapata kibali rasmi

    Point of correction....usrafa Akunai si Muislamu ni jina tu!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Aljazeera sports decorder: Msaada tutani

    wakuu bado hakuna mwenye utaalam wakufungua hizi channels za mpira zilizofungwa za aljazeera maana leo kuna kimbembe cha epl.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Aljazeera sports decorder: Msaada tutani

    Duuh kama ni kweli tumeuwawa, bila shaka ni fitna za makaburu wa DSTV....shuwaini zao
  15. K

    JamiiForums Tanzania Aljazeera sports decorder: Msaada tutani

    Wakuu habari za jioni. Aljzeera Sports chnnels zile za mipira hazipatikani. Nimeelezw kuwa jamaa wamebailisa frequencies. Naomba mwenye kuweza kug'amua hii kitu anijuze.
Back
Top Bottom