Naomba kuhuliza swali,
Mimi ni laboratory technician(soil) nafanya kaz za site,Natumia nuclear gauge kufanyia kazi ila kila nikijaribu kutafuta effect za nuclear geuge sipati majibu sahihi,
je nimazara gani niweza yapata kwa kutumia nuclear geuge kutokana na radiation’s?
but also kuna kiafaa...
sema what comfuse me n iyo idadi wanayo toa kila siku ikiwa ni idadi kubwa sana ya watu,
lets say kwa hao watu 200 kwa siku,so hapo kwa mwaka wanaugua watu 600k
naomba kuelewa kwa kwel
Naomba kuhuliza swali...
Je, Wataalamu wanatumia mbinu gani kutupa takwimu za maambuzi ya UKIMWI,,,
Someting comfuse me pale wanapsema 200 kila siku wanaambukizwa virusi vya ukimwi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.