Nuclear effect

kweka_tz

Member
May 31, 2019
7
4
Naomba kuhuliza swali,
Mimi ni laboratory technician(soil) nafanya kaz za site,Natumia nuclear gauge kufanyia kazi ila kila nikijaribu kutafuta effect za nuclear geuge sipati majibu sahihi,
je nimazara gani niweza yapata kwa kutumia nuclear geuge kutokana na radiation’s?
but also kuna kiafaa natumia kinaitwa doze meteor ila sijui kinafanyaje kaz
 
Back
Top Bottom