Hadi takwimu zinatangazwa hadharani, hapo jibu ni kwamba tayari wataalamu kadhaa wanakua wamefanya research kwa miezi/miaka kadhaa hadi kupata makisio ya idadi ama namba zinazo kadiriwa.Naomba kuhuliza swali...
Je, Wataalamu wanatumia mbinu gani kutupa takwimu za maambuzi ya UKIMWI,,,
Someting comfuse me pale wanapsema 200 kila siku wanaambukizwa virusi vya ukimwi
Soma vizuri komenti yangu hapo juu. Narudia soma kwa makinije izo wanazo toa za siku
Someting comfuseNaomba kuhuliza swali...
Je, Wataalamu wanatumia mbinu gani kutupa takwimu za maambuzi ya UKIMWI,,,
Someting comfuse me pale wanapsema 200 kila siku wanaambukizwa virusi vya ukimwi
Unajua hesabu walau kidogo?je izo za wanazo toa za siku
Achana na kupima aisee.ambao hamtaki kupima ukimwi mnahesabika kama waathirika
umemaliza kila kitu mkuu,comment fupi ila ni darasa linaloelweka sana,ishu inakuwa katika watu wangapi waliopimwa kati ya muda gani (mwezi/mwaka) wamgapi (asilimia ngapi) kati yao wanamaambukizi ya ukimwi???wakishapata hiyo takwimu inakuwa ni rahisi kuelewa au kupata takwimu kwa siku kuna ongezeko au punguzo la watu wangapi wanaoambukizwa kama ziezi la kupima litarudiwa after a certain scaled time,big up mkuuHii ni reasearch mkuu na ni fani pia kama alivo prof Kabuni nguli wa Sheria nchini. Wanachofanya ni kupima baadhi ya watanzania (sampling), mfano tunapima watu 10,000 tu kati yao utaona asilimia 20% wanavirusi hii maana yake kuwa on average ukipima watu 10,000,000 bado utapata 20% wanamaambukizi. Kuhusu mia 200. let say mwaka jana watu waliokuwa na virusi 1000 na mwaka huu ni 1365 hii inaonyesha kuna ongezeko la watu 365. Hao ukigawa ongezeko kwa siku 365 unapata 1 hii maana yake ni kuwa atleast kila siku mtu mmoja anapata virusi.
mkuu,uko sahihi kabisa,pia takwimu ni simple sana kuzipata,mfano serikali ikiamua kusort hospital tano za mikoa tofauti inapata kirahisi sana takwimu za watu wanaofika kwa Huduma wangapi kati yao wanakuwa na maambikizi ya ukimwi??hiyo ni nija moja kati ya methodologies tofauti zinazoweza kutumiwa kupata takwimu,ni swala la kitaalam mzee na watu wa hiyo fani hizo ndo kaz zao jombaaWale wanaopita kukusanya damu mashuleni /vyuoni wanaweza kuwa wanahusika kwa namna moja au nyingine kama sehemu ya kupata taarifa zihusuzo maambukizi ya HIV.
Siyo kusort,siku hizi hospitali au vituo vya afya vya umma ukienda hata kupeleka Mgonjwa wanataka wakupime kwanza ndiyo taratibu zingine ziendeleemkuu,uko sahihi kabisa,pia takwimu ni simple sana kuzipata,mfano serikali ikiamua kusort hospital tano za mikoa tofauti inapata kirahisi sana takwimu za watu wanaofika kwa Huduma wangapi kati yao wanakuwa na maambikizi ya ukimwi??hiyo ni nija moja kati ya methodologies tofauti zinazoweza kutumiwa kupata takwimu,ni swala la kitaalam mzee na watu wa hiyo fani hizo ndo kaz zao jombaa