Recent content by Kweka mpole

  1. Kweka mpole

    Nataka kusajili kampuni, nahitaji mtalaam

    Usajili wa kampuni ya aina gan.
  2. Kweka mpole

    Ada ya chuo St. Joseph

    Ndugu yangu sio wote wanaosoma St Joseph hawakufaulu vzuri. Rekebisha kauli yako mana mwenyewe nishasoma pale na napajua vzur
  3. Kweka mpole

    Hawa: Wimbo wa 'Nitarejea' wa Diamond nauchukia sana, Umeniharibia maisha yangu

    Pole Hawa. Ni miaka mingap imepita uje udai malipo yako leo.. Dhahiri hapo umekosea. Pili hiyo kusaidiwa, ungefanya wema ukaenda zako. Mana jema utendalo malipo yake yanatoka kwa Mungu sio mwanadamu.
Back
Top Bottom