Recent content by Kwanduba

  1. Kwanduba

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Inaonekana wanahumu wengi mlisoma/mnasoma mkiwa na u...ja...***t**o Mhh jaman napita tuuu
  2. Kwanduba

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Sikushangai maana kwanza wewe mwenyewe Mgonjwa...mmhhhh
  3. Kwanduba

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Asanteni sana wadau
  4. Kwanduba

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naomba aliye na link ya series za kikorea anipatie tafadhali.
  5. Kwanduba

    Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Kalagabaho kama hujui sheria tuliyotumia nyamaza subiri matokeo
  6. Kwanduba

    Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Hebu tuambie hiyo sheria inayotkiwa kuzingatia ,maana kila kona haizingatiwi daaaaaaa hivi vitoto vya mafisadi mnakeraaaa
  7. Kwanduba

    Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Ulipaswa useme akiwa amemaliza mkutano, siyo kutuambia ya moyoni mwako.... Eti hakunashamra shamra kesho watu wakifika wengi ukiwemo na wewe utasema nini Usinifanye nikauanza mwaka vibaya
  8. Kwanduba

    Waziri Mkuu aagiza kufanyika Uchunguzi juu ya miili 7 iliyokutwa mto Ruvu

    Inabidi wewe utusaidie, maana inavyoonekana unazijua sana habar za magaidi, maana unajua mpaka wanavyokula.
  9. Kwanduba

    Ya Magufuli na Dangote ni sahihi kuyashabikia kama mtu uko timamu?

    Nchi imetikiswa au wewe umetikisika na mawivu yako, huoni hata aibu bhana
  10. Kwanduba

    Ya Magufuli na Dangote ni sahihi kuyashabikia kama mtu uko timamu?

    Hebu acheni uzuzu na nyie mmetuchosha sasa Si msemeee ya kata funua yenu mtuache na mipango yetu mizuri..... Aaaaaah mnaboa bhana
  11. Kwanduba

    Mh Rais,utayaishi maneno yako?

    Mimi nampongeza sana kwa sababu nahisi waliokuwa wanachangia kuongezeka kwa gharama ni pamoja na kualika Marais kutoka nchi nyingine nao ni lazima uwagharimie tena kwa pesa nyingi, lkn mwaka huu ni sisi tu humu ndani so lazima gharama zimepungua sana
  12. Kwanduba

    TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Weka tena vocha yako, licha ya kuonyeshwa hayo makato cheki salio lako kama litakuwa limepungua then njoo utuambie tena ndpo utakapogundua uongo wako
  13. Kwanduba

    TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Acha kudanganya watu wewe.....
Back
Top Bottom