mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,837
Mbona mnawasemea Acacia.vipi mmetumwa?
TANZANIA KWANZA.
TANZANIA KWANZA.
Hebu tuambie hiyo sheria inayotkiwa kuzingatia ,maana kila kona haizingatiwi daaaaaaa hivi vitoto vya mafisadi mnakeraaaaHapo sasa! Huwezi kuinuka tu na kufanya maamuzi 'magumu' bila kuzingatia sheria!
Sasa mmeanza kuweka siri za azabu zenu za utekaji..nilikua najiuliza sana, ina maana hakuna mtu yeyote mwenye mawazo kama yangu tokea watu wameanza kukomenti?? asante sana mkuu
Sheria gani mnatumia kukurupuka tu na kutoa maagizo bila kushauriana lands zote husika? Nani walitengeneza hii mikataba mimi/wewe? Ni hao wao wanaojidai sasa wanaitengeneza. Hata tulijadilie vipi njia ambayo tumepitia kwa hili siyo. Muda utaeleza hapa mbele tu.Hebu tuambie hiyo sheria inayotkiwa kuzingatia ,maana kila kona haizingatiwi daaaaaaa hivi vitoto vya mafisadi mnakeraaaa
Mm nawaangalia tu hao wanaopongeza, Mara hii wameshasahau km tulishalipishwa meli na samaki
Mkuu, haujanipa hoja za Msingi za kwanini Una hofia tutashindwa.Naam muda utafika na haya yanayozungumzwa leo yatatekelezwa tu.
Sisi wote ni wazalendo, tena wazalendo tuliopiga kelele kwa muda kwelikweli. Tatizo letu kubwa huwa hatuachi kusema ukweli tena ukweli mchungu. Tulifungia makontena ya ACACIA pale bandarini kwa muda sasa huku tukiunda tume kuyachunguza. Sasa tuchague moja, kuwalipa fidia pale watakapodai ama kuishi kama watu ndani ya handaki, hakuna kutoka nje ama kutoa chochote. Hapo nimetumia mfano ila ni kuwa tutakapoamua kwenda kinyume na mikataba CCM waliyosaini basi tutaumia wote.
ACACIA hawakufanya biashara hewani, wamefanya biashara Tanzania na wamekaguliwa na vyombo huru tulivyojiundia sisi wenyewe, wao kama wao hawajawahi kutoka nje ya vyombo lukuki mliojiwekea enyi serikali ya CCM. Mna TMAA, mna CAG, mna ofisi ya AG, mna mahakama ya kibiashara na mbaya zaidi wanapitia kwenye njia zenu kupeleka mali zao huko ughaibuni.
Leo mnakurupuka kuwafungia kwa muda lakini tutalazimika kubuni vyanzo vingine vya mapato kuwaifidia kwa haya tunayofanya leo pale watakapoamua kufanya hivyo.
Uzalendo ukiambatana na mambo ya kujifariji na kuishi kwa matumaini ndani ya muda mfupi, huo sio uzalendo. Uzalendo huambatana na ukweli na suluhisho ambalo ukiliangalia tu unajua kuwa hili ni suluhisho. Badala yake sasa tunapiga tu blah blah na mbaya zaidi wanaotuchezesha zumari hili la blah blah wanaujua ukweli. Ole kwa wale wasiojua ukweli huo.
Jana rais Magufuli alichofanya ni kuwakumbusha tu watanzania kuwa Mkapa katuingiza cha kike. Akakumbushia machungu wee huku tukiuma meno kwa hasira. Lakini ni bora angesema pia hata haya makontena niliyozuia nitalazimika kulipa fidia pale itakapodaiwa. Huo ndiyo ukweli.
Narudia tena kuwa, ACACIA aki-step forward tu nitashangaa sana kama AG atatuma mawakili kwenda kutetea serikali! Kushinda kesi itakuwa ni ndoto ya mchana. Ni kweli tumepigwa kwa muda sana na sasa madini ni kama yanaishiaishia lakini kwa sasa tunayo maamuzi mawili tu (Haramu)
1) Kukubali kuendelea kupigwa kutokana na mkataba tuliosaini wenyewe.
2) Tuamue kufanya kama Mugabe (Huyu ni mwenzetu. Kamwe tusijilinganishe na kina Cuba, Ana Venezuela maana hawa wanajiweza sana kiuchumi). Na tukiamua kuishi kama Mugabe basi watakaoanza kuumia ni wale mafukara wa kutupwa. Kuumia kutaenda ngazi kwa ngazi hilo lipo wazi. Nje ya hapo tutakuwa tunapiga tu porojo.
Bahati mbaya sana yapo mavuvuzela humu ambayo tukiongea ukweli huu yanaleta kejeli na kuona kama tumenunuliwa! Lah! Acha tu muone hivyo lakini ukweli ndio huo! Hawa wamefanya biashara wakisimamiwa na vyombo lukuki vya serikali ya CCM, leo hawapaswi kamwe kulaumiwa. Na kinara anayelaumu naye alikuwa kwenye vikao halali vya baraza la mawaziri tangia mwaka 1998 hajawahi kuwa nje hata mara moja mpaka anakuwa rais. Bora hata Muhongo yeye aliyakuta ila siyo Magufuli.
Naona UVCCM wamepongeza, tofauti ni kuwa wakati Mkapa anasaini hii mikataba UVCCM ya wakati huo ilipongeza pia na kuuita uzalendo. UVCCM hiyohiyo ya enzi za Kikwete ilipongeza pia. Hawa huwa ni kazi yao kupongeza kila tukio la mkuu wao wa wakati huo. Ukweli ni kazi yetu sisi kuusema na ndiyo maana tunausema. Sisi ni wazalendo kweli ila pia ni wasema ukweli kweli.
Kalagabaho kama hujui sheria tuliyotumia nyamaza subiri matokeoSheria gani mnatumia kukurupuka tu na kutoa maagizo bila kushauriana lands zote husika? Nani walitengeneza hii mikataba mimi/wewe? Ni hao wao wanaojidai sasa wanaitengeneza. Hata tulijadilie vipi njia ambayo tumepitia kwa hili siyo. Muda utaeleza hapa mbele tu.
Daima watoto huwa wanapaangalia mahali pale walipoangukia, lakini watu wazima wao hurudi kupatazama mahari walipojikwaa!Kazi yenu kupinga tu
Mnaudhi sana, Sijui mnapenda tuendelee kuibiwa
Mnajifanya wajuaji sana, Serikali inajua inachokifanya, mnaropoka utadhan hiyo mikataba mshawahi hata kuiona na kujua ugumu upo wapi
Ndio maana raisi Aliunda tume mbili, Hakukurupuka,
Na kwa staili hii 2020 HAMPITI, Wa tanzania washajua udalali wenu
Yupo wapi Zitto, Lissu ? Kelele nyiiiingi hata formula ya Gold, copper, sulphur, tin ,titanium Hamzijui, Ila ujuaji mwingiiii
Shenzi kabisa
Naam muda utafika na haya yanayozungumzwa leo yatatekelezwa tu.
Sisi wote ni wazalendo, tena wazalendo tuliopiga kelele kwa muda kwelikweli. Tatizo letu kubwa huwa hatuachi kusema ukweli tena ukweli mchungu. Tulifungia makontena ya ACACIA pale bandarini kwa muda sasa huku tukiunda tume kuyachunguza. Sasa tuchague moja, kuwalipa fidia pale watakapodai ama kuishi kama watu ndani ya handaki, hakuna kutoka nje ama kutoa chochote. Hapo nimetumia mfano ila ni kuwa tutakapoamua kwenda kinyume na mikataba CCM waliyosaini basi tutaumia wote.
ACACIA hawakufanya biashara hewani, wamefanya biashara Tanzania na wamekaguliwa na vyombo huru tulivyojiundia sisi wenyewe, wao kama wao hawajawahi kutoka nje ya vyombo lukuki mliojiwekea enyi serikali ya CCM. Mna TMAA, mna CAG, mna ofisi ya AG, mna mahakama ya kibiashara na mbaya zaidi wanapitia kwenye njia zenu kupeleka mali zao huko ughaibuni.
Leo mnakurupuka kuwafungia kwa muda lakini tutalazimika kubuni vyanzo vingine vya mapato kuwaifidia kwa haya tunayofanya leo pale watakapoamua kufanya hivyo.
Uzalendo ukiambatana na mambo ya kujifariji na kuishi kwa matumaini ndani ya muda mfupi, huo sio uzalendo. Uzalendo huambatana na ukweli na suluhisho ambalo ukiliangalia tu unajua kuwa hili ni suluhisho. Badala yake sasa tunapiga tu blah blah na mbaya zaidi wanaotuchezesha zumari hili la blah blah wanaujua ukweli. Ole kwa wale wasiojua ukweli huo.
Jana rais Magufuli alichofanya ni kuwakumbusha tu watanzania kuwa Mkapa katuingiza cha kike. Akakumbushia machungu wee huku tukiuma meno kwa hasira. Lakini ni bora angesema pia hata haya makontena niliyozuia nitalazimika kulipa fidia pale itakapodaiwa. Huo ndiyo ukweli.
Narudia tena kuwa, ACACIA aki-step forward tu nitashangaa sana kama AG atatuma mawakili kwenda kutetea serikali! Kushinda kesi itakuwa ni ndoto ya mchana. Ni kweli tumepigwa kwa muda sana na sasa madini ni kama yanaishiaishia lakini kwa sasa tunayo maamuzi mawili tu (Haramu)
1) Kukubali kuendelea kupigwa kutokana na mkataba tuliosaini wenyewe.
2) Tuamue kufanya kama Mugabe (Huyu ni mwenzetu. Kamwe tusijilinganishe na kina Cuba, Ana Venezuela maana hawa wanajiweza sana kiuchumi). Na tukiamua kuishi kama Mugabe basi watakaoanza kuumia ni wale mafukara wa kutupwa. Kuumia kutaenda ngazi kwa ngazi hilo lipo wazi. Nje ya hapo tutakuwa tunapiga tu porojo.
Bahati mbaya sana yapo mavuvuzela humu ambayo tukiongea ukweli huu yanaleta kejeli na kuona kama tumenunuliwa! Lah! Acha tu muone hivyo lakini ukweli ndio huo! Hawa wamefanya biashara wakisimamiwa na vyombo lukuki vya serikali ya CCM, leo hawapaswi kamwe kulaumiwa. Na kinara anayelaumu naye alikuwa kwenye vikao halali vya baraza la mawaziri tangia mwaka 1998 hajawahi kuwa nje hata mara moja mpaka anakuwa rais. Bora hata Muhongo yeye aliyakuta ila siyo Magufuli.
Naona UVCCM wamepongeza, tofauti ni kuwa wakati Mkapa anasaini hii mikataba UVCCM ya wakati huo ilipongeza pia na kuuita uzalendo. UVCCM hiyohiyo ya enzi za Kikwete ilipongeza pia. Hawa huwa ni kazi yao kupongeza kila tukio la mkuu wao wa wakati huo. Ukweli ni kazi yetu sisi kuusema na ndiyo maana tunausema. Sisi ni wazalendo kweli ila pia ni wasema ukweli kweli.
wabongo wanaudhi sana usisikieSasa mmeanza kuweka siri za azabu zenu za utekaji..
Simple kosa kama kukosa uwazi (hata kama ni mdogo) ni sababu tosha ya kuvunja mkatabaHahaa brother . Ishu sio watu kuhongwa. Mkataba walitia sign wenyewe. Nadhan sheria za kuvunja mkataba unazifaham
Vita huwa haina draw kuna kupiga au kupigwa.Tujiandae kwa lolote.Nakubaliana na wewe mkuu ila, tuombe Mungu kuwe kumepatikana ka mwanya tu ka kumkosoa huyo Accacia ili ionekane kuwa katuibia ndipo tuutumie mwanya huo kuwang'oa bila ganzi meno yao. Lakini kama ni kukurupuka, basi tujiandae kuula wa chuya
Hatuna muda wajameni wa kusikiliza hizi takataka za kipumbaf. Kaeni na mawazo yenu muwaeleze wake zenu majumbani kwenu. Tunachojua tumepigwa na tumepigwa kweli na mijizi hii. Hatuna msalie mtume hapa. Ni lazimatuwe na mawazo positive. Leteni mawazo ya kutupeleka mbele na sio hayo yenu ya kusaidia kumuwazia muwekezaji. Ulofa huo.mods futa takataka hiiNaam muda utafika na haya yanayozungumzwa leo yatatekelezwa tu.
Sisi wote ni wazalendo, tena wazalendo tuliopiga kelele kwa muda kwelikweli. Tatizo letu kubwa huwa hatuachi kusema ukweli tena ukweli mchungu. Tulifungia makontena ya ACACIA pale bandarini kwa muda sasa huku tukiunda tume kuyachunguza. Sasa tuchague moja, kuwalipa fidia pale watakapodai ama kuishi kama watu ndani ya handaki, hakuna kutoka nje ama kutoa chochote. Hapo nimetumia mfano ila ni kuwa tutakapoamua kwenda kinyume na mikataba CCM waliyosaini basi tutaumia wote.
ACACIA hawakufanya biashara hewani, wamefanya biashara Tanzania na wamekaguliwa na vyombo huru tulivyojiundia sisi wenyewe, wao kama wao hawajawahi kutoka nje ya vyombo lukuki mliojiwekea enyi serikali ya CCM. Mna TMAA, mna CAG, mna ofisi ya AG, mna mahakama ya kibiashara na mbaya zaidi wanapitia kwenye njia zenu kupeleka mali zao huko ughaibuni.
Leo mnakurupuka kuwafungia kwa muda lakini tutalazimika kubuni vyanzo vingine vya mapato kuwaifidia kwa haya tunayofanya leo pale watakapoamua kufanya hivyo.
Uzalendo ukiambatana na mambo ya kujifariji na kuishi kwa matumaini ndani ya muda mfupi, huo sio uzalendo. Uzalendo huambatana na ukweli na suluhisho ambalo ukiliangalia tu unajua kuwa hili ni suluhisho. Badala yake sasa tunapiga tu blah blah na mbaya zaidi wanaotuchezesha zumari hili la blah blah wanaujua ukweli. Ole kwa wale wasiojua ukweli huo.
Jana rais Magufuli alichofanya ni kuwakumbusha tu watanzania kuwa Mkapa katuingiza cha kike. Akakumbushia machungu wee huku tukiuma meno kwa hasira. Lakini ni bora angesema pia hata haya makontena niliyozuia nitalazimika kulipa fidia pale itakapodaiwa. Huo ndiyo ukweli.
Narudia tena kuwa, ACACIA aki-step forward tu nitashangaa sana kama AG atatuma mawakili kwenda kutetea serikali! Kushinda kesi itakuwa ni ndoto ya mchana. Ni kweli tumepigwa kwa muda sana na sasa madini ni kama yanaishiaishia lakini kwa sasa tunayo maamuzi mawili tu (Haramu)
1) Kukubali kuendelea kupigwa kutokana na mkataba tuliosaini wenyewe.
2) Tuamue kufanya kama Mugabe (Huyu ni mwenzetu. Kamwe tusijilinganishe na kina Cuba, Ana Venezuela maana hawa wanajiweza sana kiuchumi). Na tukiamua kuishi kama Mugabe basi watakaoanza kuumia ni wale mafukara wa kutupwa. Kuumia kutaenda ngazi kwa ngazi hilo lipo wazi. Nje ya hapo tutakuwa tunapiga tu porojo.
Bahati mbaya sana yapo mavuvuzela humu ambayo tukiongea ukweli huu yanaleta kejeli na kuona kama tumenunuliwa! Lah! Acha tu muone hivyo lakini ukweli ndio huo! Hawa wamefanya biashara wakisimamiwa na vyombo lukuki vya serikali ya CCM, leo hawapaswi kamwe kulaumiwa. Na kinara anayelaumu naye alikuwa kwenye vikao halali vya baraza la mawaziri tangia mwaka 1998 hajawahi kuwa nje hata mara moja mpaka anakuwa rais. Bora hata Muhongo yeye aliyakuta ila siyo Magufuli.
Naona UVCCM wamepongeza, tofauti ni kuwa wakati Mkapa anasaini hii mikataba UVCCM ya wakati huo ilipongeza pia na kuuita uzalendo. UVCCM hiyohiyo ya enzi za Kikwete ilipongeza pia. Hawa huwa ni kazi yao kupongeza kila tukio la mkuu wao wa wakati huo. Ukweli ni kazi yetu sisi kuusema na ndiyo maana tunausema. Sisi ni wazalendo kweli ila pia ni wasema ukweli kweli.
Mmoja ya waliosifia ni huyu aliyeandika huu uzi...Aliyekwambia "wote" tulisifia nani? Speak for yourself
Mawazo mbadala ni afya kwa ustawi wa taifa....Kazi yenu kupinga tu
Mnaudhi sana, Sijui mnapenda tuendelee kuibiwa
Mnajifanya wajuaji sana, Serikali inajua inachokifanya, mnaropoka utadhan hiyo mikataba mshawahi hata kuiona na kujua ugumu upo wapi
Ndio maana raisi Aliunda tume mbili, Hakukurupuka,
Na kwa staili hii 2020 HAMPITI, Wa tanzania washajua udalali wenu
Yupo wapi Zitto, Lissu ? Kelele nyiiiingi hata formula ya Gold, copper, sulphur, tin ,titanium Hamzijui, Ila ujuaji mwingiiii
Shenzi kabisa
Hatuna muda wajameni wa kusikiliza hizi takataka za kipumbaf. Kaeni na mawazo yenu muwaeleze wake zenu majumbani kwenu. Tunachojua tumepigwa na tumepigwa kweli na mijizi hii. Hatuna msalie mtume hapa. Ni lazimatuwe na mawazo positive. Leteni mawazo ya kutupeleka mbele na sio hayo yenu ya kusaidia kumuwazia muwekezaji. Ulofa huo.mods futa takataka hii