Recent content by Kwa Imani

  1. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana Tabia za Kuepuka

    Kijana kama unataka kufanikiwa maishani, epuka tabia zifuatazo: 1: KUKOSA UAMINIFU KAZINI Vijana wengi sio waaminifu kabisa, wengi wana tamaa ya mali nyingi ndani ya muda mfupi, hata kama ni kwa njia isiyo halali. Kuna vijana kila wakipewa kazi wanawaza namna ya kupiga madili tu kama vile...
  2. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Ushuru wa Taka

    Hivyo viwango vya kulipa vipo kwenye sheria gani? Utajuaje hiki kiwango kimezidi nachotakiwa kulipa?
  3. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Dawa ya maambukizi (fangasi) kwenye ulimi (geographical toungue).

    Hapana sijawahi na sitegemei
  4. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Dawa ya maambukizi (fangasi) kwenye ulimi (geographical toungue).

    Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha. Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C, nikaambiwa nile vyakula vyenye Vitamin C lakini wapi. Je, kuna yeyote anafahamu huu ugonjwa na dawa yake...
  5. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

    Kupungua haipungui ila kuongezeka inawezekana
  6. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo yanayoikwamisha jamii yetu isipige hatua

    Kitu kikubwa kinachofanya jamii isiendelee ni kulazimishana fani. Ni vema Kila mtu aachwe afanye kazi anayoipenda.
  7. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo yanayosababisha vijana wasifanikiwe haraka

    KUKOSA UAMINIFU. Vijana wengi sio waaminifu .
  8. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Salaam Wana JF

    Asante sana mkuu
  9. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu mimi ni new member

    karibu sana
  10. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Salaam Wana JF

    Mimi ni mgeni mwenyeji, nimerudi tena! Nimefurahi kujumuika na nyie kwa mara nyingine.
Back
Top Bottom