Recent content by Kuzurikwetu

  1. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa vinakosa sifa za 'smart card'

    Tuelewe pia National ID inatolewa kwa wakazi wote hata wasiokuwa raia. Ni Aibu msomi kuzungumza kutokea hewani-"no research no right to speak".
  2. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Justice Prof. Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu (AG) Mpya

    Huku ni kudhindwa kwingine kwa rais wetu unawezaje kumteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa kuwa AG hii ni kuingilia Uhuru wa Maahakama. jambo hili halifai JK anaweka precedent mbaya. ma-ptoffessor wa kibongo nao hawana dira za maisha yao, ndio maana wanaishia kutumika na wanasiasa na kutupwa nje.
  3. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
  4. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Taasisi kongwe zinazotumia jina la Tanganyika

    uanachama wa TLS sio wa muungano hii ni ya Tanganyika. Zanzibar wanacho chama chao kinaitwa Zanzibar law Society (ZLS) kila chama kina taratibu zake za uanachama.
  5. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Suala la mwanaume kuzira mnalichukuliaje wenzangu?

    Mi nadhani mtu mzima mpaka anazira kutakuwa na jambo limemkwaza, na wengi wa wanaozira huchukua hatua hii kama suluhisho (angalau la muda) kuweza kuji-relieve na ile hali ya kukwazika na wakati ni kuepuka ugomvi zaidi.kwangu mimi simshangai anayezira,. After all mtu aliyezira akimbembelezwa...
  6. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya mitego ya waajiriwa wa Umma.

    Pamoja na hayo mengine huyu afande kapendeza sana kwenye hicho ki-skirt chake. Safi sana!
  7. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Mkubwa Ndani ya Adventist Tanzania Union Mission-Unaofanywa na Ndg Denis Wairaha

    Mleta mada anaonekana kuwa na hasira hivi. Je inawezekana kweli ana uchungu na huo anaouita ufisadi au kuna la zaidi ya hapo? Nashawishika kuamini kuna zaidi ya kuchukia ufisadi ndio maana uzi wake uko kishari zaidi.&nbsp;<br>Pole sana kama jamaa alikuzidi akili.
  8. Kuzurikwetu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshangilia Dk. Magufuli! Asimamia, daraja la mto Mzinga lafunguka magari yaanza kupita.

    Huyu jamaa ni kiongozi mzuri, lakini tujiulize kwa style hii ya utendaji wake atasimamia madaraja mangapi nchi nzima?!
Back
Top Bottom