Recent content by Kuzenza kamuli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali bado haijaelewa maana ya maandamano siku hizi. Serikali itatue kero za waandamanaji

    Nawaza Afcon ifike halafu yatangazwe maandamano
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kikiwa hivi unatabiri nini Kimataifa?

    [emoji16][emoji16]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yanga Kushusha Big Player saa 6:1 Usiku

    Kaa tayari kwa Big Prayer Je ni Aziz K?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga kikiwa hivi unatabiri nini Kimataifa?

    Timu hazitapelekewa moto kweli?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Gael Bigirimana ni Surprise ya Rais Mpya wa Young Africans kwa Wanayanga

    Gael Bigirimana ni alikuwa Midfielder wa Glentoran na Midfielder wa Timu ya Taifa ya Burundi. Pia amewahi kuchezea EPL na Newcastle. Hii ni Surprise tu usajili mkubwa unakuja kwa Wananchi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Finali ya CAF Super Cup 2022 kati ya Wydad AC vs RB Berkané kuchezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa

    Fainali hii itakuwa na faida kwa Wanasoka na Watanzania kwa ujumla.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jina la Top Score wa NBC George Mpole Kukosekana kwenye Tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi

    Kuna baadhi ya Wanasoka wamesikitishwa na kukosekana kwa jina la Top Score wa NBC George Mpole kwenye tuzo za Ligi Kuu ya NBC wakidai ni kukosekana kwa uzalendo kwa wachezaji wa ndani. Kinachotokea kwa Mpole ni kama kilichotokea kwa Son aliyekuwa Top Score wa EPL bila goli la penati lakini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

    FT SSC 0 OPC 2 Hakuna jipya
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kocha Nasreddine Nabi kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022?

    Kwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC ulivyo mpaka sasa ni dhahiri moja kwa moja bingwa wa NBC msimu wa 2021/22 ni Young Africans SC
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yanga Bingwa wa Ubingwa wa Jamhuri ya Muungano 1983

    Yanga ambayo ilikuwa nje ya mategemeo ya wapenzi wengi wa soka hapa nchini ya kuweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania. Ilionyesha ushujaa wake wa kulisaka soka katika mchezo wake wa mwisho dhidi ya Small Simba ya Zanzibar ambapo yanga ilishinda kwa magoli 4-1 mchezo uliofanyika katika Uwanja wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Nini wafanye kama haufaki hili?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Halotel kasi ya intanenti ipo chini halafu wanapandisha vifurushi kweli?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Coco beach imemponza
Back
Top Bottom