Recent content by kuxhinda

  1. kuxhinda

    Nauza Printer epson l382

    Mkuu bado ipo kwenye box kabisa, ndio wino wa kwanza bado sijabadili wino inaenda kwa 390 ipo Mwanza Buhongwa
  2. kuxhinda

    Nauza Printer epson l382

    Wapambanaji nauza printer yangu epson l382 ina mwezi mmoja tu tangu niinunue, karibuni njoo ukague mteja alie serious
  3. kuxhinda

    Mke wangu amekutwa HIV+

    Pima DNA na huyo mtoto.
  4. kuxhinda

    Msaada wana forum wenzangu

    Hii truck aliimba nani msaada anayeijua anisaidia jina aliyeimba.
  5. kuxhinda

    Inaonesha tu rangi ya blue pamoja na maandishi ya Recovery PC?

    Wakuu nahitaji msaada mwenye uelewa wa masuala ya computer, nina mashine yangu laptop nilikuwa naifanyia activate windows lakini matokeo niliyoyapata yalifeli kabisa, sasa baasi nikiwasha inawaka lakini haionyeshi zile icon zake. Inaonesha tu rangi ya blue pamoja na maandishi ya recovery PC...
  6. kuxhinda

    Naomba kujuzwa sakafu ya chenga chenga

    eeeh mkuu nahitaji sakafu ya terrazo
  7. kuxhinda

    Naomba kujuzwa sakafu ya chenga chenga

    eeh mkuu nahitaji sakafu ya terrazo
  8. kuxhinda

    Ceiling board za plastic zinaitwaje?

    ahaaa shukrani sana, ina 8futi kwa ngapi boss?
  9. kuxhinda

    Ceiling board za plastic zinaitwaje?

    zege banda linakuwa ni zito kishenzi, labda nafanya hivi naweka ule waya wa mashimo ya choo nauchomelea kwa chini ili kuweza kushika cement itakayowekwa kwa ajili ya vigae au terrazzo floor
  10. kuxhinda

    Ceiling board za plastic zinaitwaje?

    ahaaa shukrani sana chifu wangu, na sakafu ya terrazo inaweza ikakaa vizuri kwenye banda la biashara? ambalo kwa chini limechomelewa zile pleti za bati au vigae vinaweza kaa vizuri ?
  11. kuxhinda

    Ceiling board za plastic zinaitwaje?

    sawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?
  12. kuxhinda

    Ceiling board za plastic zinaitwaje?

    ahaaa wanauza kwa mita au nini mkuu nisaidie kwa hilo
  13. kuxhinda

    Ceiling board za plastic zinaitwaje?

    Wakuu msaada zile sling board za plastic zinazowekwa kwenye fisher board kwa nje zinaitwaje?
  14. kuxhinda

    Naomba kujuzwa sakafu ya chenga chenga

    nadhani ndo hiyo huwa ina chenga chenga nyeusi nyeupe na rangi zingine zingine hivi huwa inapendwa sana kuwekwa katika sakafu za makanisani
  15. kuxhinda

    Board wanazoweka kwenye magorofa zile za drafit huwa zinaitwaje?

    Cheki hiyo picha kwa juu utaona kama kuna vibox vibox vyeupe ndo ninayoiongelea
Back
Top Bottom