Recent content by kuute

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa juu ya ucheleweshwaji wa pension PSPF

    Je wao wamepata mishahara? Wanaongea tu mambo ya wazee lakini hili halifuatiliwi na serikali kwa sababu serikali ndiyo inafilisi hii mifuko. Ningekuwa na uwezo singekubali hii mifuko ni unyonyaji
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti unaendelea TRA, sasa ni vyeti vya darasa la Saba

    Wakati wetu kulikuwa na fursa ya kubadilisha jina ukiwa darasa la saba na hivyo kuanza fomu one na jina ulilotaka. Hii ilitokana na watu waliorudia madarasa kutumia majina ya wale watoro.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sabodo: Sitawapa tena CHADEMA pesa yangu, nitampa Rais Magufuli

    Hawa ni wafanyabiashara wa kimataifa siyo lazoma wawe na cash hiyo bali wana rssilimali zinazotosha kukopa hela hizo kutoka mabenki mbalimbali. Lakini ikumbukwe pia hajasema atatoa msaada bali atawekeza kwa manufaa yake. Na watanzania wasipolielewa hili utaona wazalendo wakifukuzwa maeneo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu Rais, kama si halali Bodi ya pamba kuwa Dar, ni halali STAMICO kuwa Dar?

    Stamico nayo iende huko kwenye magwalagwala
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukichokwa hata kabla hujatimiza mwaka wa uongozi jitafakari

    Nchi hii hsina mafisadi bali wezi wa kuku
  6. K

    JamiiForums Tanzania This article about Dodoma becoming a capital city will rock you!

    Waende dodoma foleni zipungue dsm. Period
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles John Tizeba

    Alikuwa akisoma diploma na sekondari kipindi kimoja? 1981-1985? Kama uliyeleta uzi umekosea sahihisha umtendee haki
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wapinga Serikali kuzima simu bandia na kutaka kwenda kortini

    Kama simu ni fake lakini zina mawasiliano si waziache zife zenyewe lakini wadhibiti uingizaji?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Tanesco tabata liwiti ni kero kero kero. Wanawaambia wateja waje saa mojs na nusu siku ya jmamosi. Wao wanafika saa nne!! Wanatupotezea muda kwa nini? Rais tumbua majipu haya. Wanafanya kazi kwa mazoea
  10. K

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) kuchunguzwa kwa kosa la kutukana wabunge

    Makamanda wa mbeya nawaamini na nimewapenda. Mwenye vidole kilema itakuwaje ishara za vidole vyake? Sugu hongera sana maana wasomi wameingilia siasa!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mitumba inapozuiwa bila kuwa na misingi ya kujenga viwanda

    Hata huko ulaya yapo maduka ya mitumba na wazungu wanauziana kwa kuwa wapo wazungu wenzao hawamudu kununua nguo mpya!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Mbunge anahitajika kujua kusoma na kuandika. Mnasema ooh hana shule. Tumeona phd za kina Mrema. Uprofesa wa china na korogwe! Hayo ni mapambo tu ya kujikombea leo hii mnaruhusu waalimu waache kufundisha watoto wetu wanakuja kupayuka kwenye siasa. Hiyo phd ya mwakyembe ina tija gani kwenye siasa?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza katika mabasi yaendayo kasi

    Nijuzeni jamani. Mipaka ya kstikati ya jiji ni ipi? Na nikitoka na gari langu huko pembezoni ya mji nilipaki wapi nitembee kwa miguu au nipande hayo magari ya haraka?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    Tcu ni majanga kweli kweli. Wakienda kukagua chuo kipya kinachoomba usajili wanaoneshwa nyumba za watu kuwa ndizo hosteli wanachukua chao wanapasisha kumbe chuo hakina hostel au hosteli zake Nazi kidhi viwango
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Magufuli pambana na wauza gongo Kilimanjaro

    Tunaomba serikali iondoe viroba. Kipimo cha chini kiwe ni chupa ndogo ya konyagi
Back
Top Bottom