Recent content by kuti kavu jr

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza pesa kwa kuandika hadithi za sauti, fursa ambayo wengi bado hawajaigundua

    Kama unapenda kuandika hadithi, kuna fursa ambayo huenda bado hujaijua vizuri: Pocket FM. Pocket FM ni jukwaa la audio stories ambapo wasikilizaji husikiliza hadithi zinazotolewa kwa mfumo wa episodes. Badala ya kuandika kitabu kimoja na kukiweka sokoni, mwandishi anaweza kujenga series yenye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sanaaaa, kongole kwa muanzilishi wa uzi huu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Habari, leo nmejiregister JF kwa ajili tu ya kuleta shuhuda hii. Asante kwa waanzilishi na washiriki wote wa uzi huu. Umenisaidia na kunipa ujjasiri sana na hatimaye nimelamɓa asali serikalli kuu. Niwatie moyo mtafutaji hachoki na akichokq jua kapata. Mie ni class of 2016. Mambo yamebadilika...
Back
Top Bottom