Labda tu nimechelewa kuiona hii habari. Mzee Pancras Ndejembi ni Babu yake na si Baba kama ulivyoandika. Baba take ni Mzee John Pancras Ndejembi. Rekebisha na ndiposa uendelee kumchambua.
Hoja yako ni nzuri ila kwamba nafasi zao zinakuwa vigumu kuzibwa si sawa. Sasa hivi kada hizo mbili zina vijana wengi tu wanaozurura mjini kwa kukosa ajira. Ili hawa vijana wapate ajira ni vyema hao waliofikisha umri wa kustaafu wafanye hivyo ili wapate muda wa kupumzika na kuwalea vyema...
Hapo Tume ya Maadili inahusika. Kwa bahati mbaya wamelaka usingizi wa pono katika kutimiza wajibu wao. Enzi zile tulikuwa tukijaza utitiri wa fomu ili kueleza mali zote ulizokuwa nazo na jinsi ulivyoipata. Kisha unalinganisha na ya mwaka uliopita na kuonesha ni njia ipi ilikuwezesha kupata mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.