Recent content by kutanisha

  1. K

    SOFTWARE App kwa ajiri ya sherehe andaa orodha ya waalikwa na kadi za kielekitroniki

    Je, wewe ni Bw. / Bi. harusi mtarajiwa una sherehe yoyote inayohusisha michango? Je, unahitaji kuandaa kadi za kielekitroniki #ecard #electronic Card zenye majina na QR codes kwa ajiri ya uthibitisho (verification). Tunayo application itakayoweza kukusaidia kuandaa hivyo vyote. Application...
  2. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    Nilitumia taarifa zake alizotumia kunitapeli, ndo mpaka nikafika kupata picha yake kwenye account ya facebook ya huyo demu, actually the whole family niliconnect na nimewajua
  3. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    Hapana mzee lazima nimkamate, hata kama itachelewa
  4. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    Nili connect dotes, jinsi alivyo jitambulisha, kamputi aliyo itambulisha kuwa anafanyia kazi alisema ni El-nur germs, namba yake ya simu na alivyo jisajiri vyote vilichangia kupata hii picha kwa facebook.
  5. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    We sema unataka kiasi gani, ukifanikisha kupatikana kwake utafurahi
  6. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    Da nisaidie kaka, nimpate ni text tuongee zaidi
  7. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    nilikua nje ya ukumbi naangalia game, baada ya mda naenda kuangalia nikakuta mlango umefungwa, na wale staff wanamtafuta.
  8. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    Hapana, hii ni Kweli kabisa kaka, RB ni KW/RB/12277/2013 (KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU), SIO MAJUNGU, HII PICHA NDO NILOIPATA SO KAMA UKIMUONA HATA HUYO DEMU NITONYE MAANA ATASAIDIA KUPATIKANA JAMAA
  9. K

    Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

    HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI. Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer. Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA...
Back
Top Bottom