Mimi ni mhanga wa jambo hilo na mpaka leo limeniathiri kisaikolojia.
Nimezaliwa last born lakini tangu utotoni mama alikua anampenda sana kaka yangu tunayefuatana nae kiasi kwamba nilikua najisikia vibaya but BABA was on my side!! (APUMZIKE KWA AMANI). Kilichotokea tangu kaka akiwa darasa la...
Tafuta hela, focus na maisha kwanza. Huyo mamsi wote hamjawa matured acheni kudanganyana na kupeana ahadi za uongo. Think of marriage when you have proper financial grounds. Ndoa sio hisia ni majukumu na maturity. Nyie kaeni endekezeni hisia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.