WAlishanitumia hii mara ya tatu
Katika line yangu
Na benk ya kwanza mara mbili
Na hii ya hivi karibuni ni benki tofauti na ya mwanz mara 1
KIwango hakitofautiani sana kilichotumwa,ni 3k na kidogo
Hili suala ni kweli
Hata mm limenitokea mwaka juzi nilipokea mara mbili kutoka benk moja
Na wiki iliyopita nimepokea kutoka benk nyengine
Tofauti yangu na mtoa mada mm hazioneshi ni za nn
Mara ya kwanza nilipigiwa cm,baada ya ushauri wa mtu wa benk,nikaambiwa nisilipe hadi bank iliyotuma...
nilisha skim ukuta kwa kutumia saruji ya kawaida twiga na kuichanganya na rangi imotion
matokeo mpaka sasa ni mazuri maana nyumba nimeikodisha mwaka wa nne sasa bado inaita
na nilijaribu ku skim nje tu.
niliokoa pesa nusu gharama.
mm niliwahi pokea kutoka benk kuja ktk cm yangu 500000
mwenye hizo pesa aligunduwa kuwa benk walikosea namba moja akanipigie nimrudishie
ila nilipata ushauri kwa watu wa benk kuwa nisimtumie bali niziwache kwa sababu nikimrudishia atawexa lalamika sikumpayia
hivyo niliziwacha na nikampigia...
Nimeskim saruji ya kawaida nikachangaya na rangi imetoka vizuri tu bila tatizo lolote
Na pia kama mchangajaji atatumia kipimo kimoja katila kuchangaya baso unapata kitu kimoja safi sana na hutajitaji rangi tena
Unapata rangi ya kijivu jivu nzuri tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.