😅😅 bro acha uongo manipulation nyingi kwenysecurities market zinafanywa kwenye stocks, commodities na derivaties.
Foreign exchange market is to global and has a higher average trading volume for any single entity to corner it for a very long time.
Katika kuchunguza chunguza kwangu nime notice kitu strange kuhusu ezypesa
Nilivyofanya hzi steps zifuatazo
1)dial *150*02#
2)chagua option 9 ya account yangu
3)chagua option two ya kubadilishwa password
4)Then type something wrong for the now password and new password
What happened next ni...
Unakuwa huwezi hamini security Watu wanafanya assumption sana.Unaweza uka thinkits hard lakini ukifuatilia major hacks huwez amini its just the same thing different day
Mfano angalia ile Sony hack you would expect it to be a major issue Ila it was just a SQL injection attack.
Au hii IOT mirai...
Uko vzuri bro.Developer wanasahau ya kuwa unaweza program system na security measures kama delaying making you can never program the user to be secure.Watu wanatumia password mmoja account zote na isitoshe password zao mostly ni majina yao au watoto au mwanamziki au vitu knowable making it...
Bro labda nikueleweshe vizuri
umeshajua kuwa ndani kuna maximum na minimum voltage ngoja nianzie hapo
Ckia bro katika von neumann based machines kuna kitu kinaitwa fetch-decode-execute
Instructions na data zinakuwa stored kwenye memory, processor ina zi fetch na kuzi decode kwa kutumia...
Hamna zero na moja ndan ya kompyuta Ni switches zinazo alternate kwenye discrete Maxima positive voltage na maximum negative voltage.Hzo zero na one ni abstraction kutoka kwenye hzo discrete maximum na minimum voltage
A computer is a physical manifestation of computation.Computation meaning...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.