Kama wanapewa mikopo kwa kuwa wanafanya ukahaba hapo ndiyo wanachochea kabisa ukahaba hata wale waliotulia sasa wanawashawishi waanze kuwa makahaba kwa kuamini kuwa ukiwa kahaba unapewa mkopo ushauru wangu serikali ifanye utratibu wa kuwapa vijana wote mikopo bila kufanya ubaguzi kuwa hawa ni...
WanaCHADEMA na watanzania wote wenye akili chanya wanauona umuhimu wa kuwepo kwa CDM mwaka 2015 wakati wa kampeni CDM iliibana ccm hadi ikateua jina la JPM kuwa mgombea urais wakati hakuwa Chaguo lao ila kutokana na presha kutoka CDM hawakuwa option nyingine, ni kutokana na presha hiyohiyo...
Nakubaliana na ukweli kwamba hakuna ulinganifu kati ya hawa wawili ingawa nafasi ni moja wanayoitumikia kwa sababu uwezo wa mtu ni akili ya mtu na akili ni nywele kila mtu ana zake
Nyiye watu wa chama cha kijani acheni chokochoko na uenyekiti wa CDM na Mbowe hebu shughulikeni na hao wanaoihujumu nchi yetu kwa kukata umeme usiwe stable
Katika hao wazalendo unaofikiri wachukue uenyekiti kutoka kwa mbowe wanaweza kuwa wagumu kama Mbowe hata akibambikizwa kesi na kuishi magereza yuko tuu imara wala hayumbi au unataka kuwapa uenyekiti wale jamaa ambao wakitishiwa kidogo tuu kesho unasikia wanaunga mkono juhudi HONGERA SANA MBOWE...
Ishu hapa ni hoja iliyotolewa tuichambue tusimchambue mtoa hoja, kiukweli haina maana kuwa na cheti cha chuo kikuu wakati kwa kazi hiyohiyo practically Huna hata uwezo wiwote unashindwa hata na kijana aliyeishia darasa la saba na kwenda veta kupata ujuzi wa kazi za mikono
Hili la wamasai wa ngorongoro limegawanyika katika maeneo mawili eneo moja ni pori tengefu la loliondo na pili ni hifadhi ya ngorongoro ambako ndiko iliko kreta ya ngorongoro
Tukianza na pori tengefu lililoko loliondo hili ni eneo muhimu sana kwa ajili ya ecology ya hifadhi ya serengeti na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.