Recent content by Kupata majaliwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza maeneo yetu yapo Dar es salaam

    Sio kosa lako, mtu anaweza vp kunyang'anywa eneo lake ambalo analimiliki kihalali likiwa na hati na documents zote zinazojidhihirisha wazi kuwa ni lake? Kuwa makini, mdomo uliponza kichwa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza maeneo yetu yapo Dar es salaam

    Wasalaam waleikhu na bwana asifie kwenu, natumaini nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu hili. Dhumuni la kuandika thread hii ni kupenda kuwatangazia umma kuwa nauza maeneo yangu mawili, moja lipo Mbweni - Mpiji ambalo lina ukubwa wa Square Metre 1499 sambamba kabisa na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza maeneo yetu yapo jijini Dar es Salaam

    Wasalaam waleikhu na bwana asifie kwenu, natumaini nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu hili. Dhumuni la kuandika thread hii ni kupenda kuwatangazia umma kuwa nauza maeneo yangu mawili, moja lipo Mbweni - Mpiji ambalo lina ukubwa wa Square Metre 1499 sambamba kabisa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA MAYAI YA KWARE

    Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiwashuhudia ndugu, jamaa na marafiki zangu wakisifia biashara ya mayai ya kware. Kwamba inalipa na pia hata mahitaji ya kuwatunza kware sio gharama kubwa, hivyo nikavutika na mm kuwa miongoni mwa wajasiriamali wa biashara hii. Natumai kwenye jukwaa hili hakuwezi...
Back
Top Bottom