Tunauza maeneo yetu yapo Dar es salaam

Kupata majaliwa

New Member
Jan 26, 2016
4
0
Wasalaam waleikhu na bwana asifie kwenu, natumaini nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu hili.

Dhumuni la kuandika thread hii ni kupenda kuwatangazia umma kuwa nauza maeneo yangu mawili, moja lipo Mbweni - Mpiji ambalo lina ukubwa wa Square Metre 1499 sambamba kabisa na hati yake, kutoka eneo lilipo sio mbali na barabarani, huduma zote za msingi zinapatikana kama vile maji, umeme na huduma za afya - Bei yake ni Milioni 85 maongezi yapo.

Eneo lingine lipo Madale kwenye viwanja vilivyopimwa ambalo lina ukubwa wa square Metre 530, Bei yake ni milioni 30 tu. Huduma zote za msingi zinapatikana.

Hili eneo la tatu sio langu bali ni la shemeji yangu ambaye nae analiuza ni shamba lenye heka 4 lipo madale kwa kawawa, kila heka ni shilingi milioni 35 maongezi yapo, bado halijapimwa, kutoka barabara ya lami ya wazo ni nusu kilometre.

Kwa Mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana nasi kupitia namba hizo hapo chini

0753 450 240

0683 56 28 87

au kwa barua pepe

Email : abdchandetz@gmail.com

Wote Mnakaribishwa
 
Aaaah wapi mimi nasubiri hadi Lukuvi awanyang'anye ndio niyanunue kwa bei poa
 
Aaaah wapi mimi nasubiri hadi Lukuvi awanyang'anye ndio niyanunue kwa bei poa
We boya kweli kwanini awanyang'anye kama wanamiliki kihalali wacha upuuzi. Mkuu usisikilize hawa mtima nyongo style wana payuka payuka tu
 
Aaaah wapi mimi nasubiri hadi Lukuvi awanyang'anye ndio niyanunue kwa bei poa

Sio kosa lako, mtu anaweza vp kunyang'anywa eneo lake ambalo analimiliki kihalali likiwa na hati na documents zote zinazojidhihirisha wazi kuwa ni lake? Kuwa makini, mdomo uliponza kichwa
 
Unaenda kunnua kiwanja kwa mtu mil 30 chenye sqm 530 ni akili au matope wakati kiwanja cha sqm 725 unannua kwa mil 11 kilichopimwa na serikali

Usibadili mada. Nimejibu kiwanja cha wazi.
Na kuhusu ukubwa wa eneo vs bei rudia kunisoma tena.
 
Mi napenda waoga kama nyie. Ndio mnaofanya angalau na sisi tusioweza kununua vya kupima tupate maeneo makubwa kwa gharama ndogo.
Nashukuru sijawahi kutapeliwa.
Hongera sana kwa Ujasiri Sister,maana wewe Mwanamke ila unajiamini kuliko hata wanaume.
Unajua hii issue ya Serikali sio kwamba watu wanaonewa kama watu mnavyofikiria,haya mambo ya hati na kupima viwanja wengi tumekuja kuyajua miaka ya 2000 kuja juu,huko nyuma tulikuwa tunauziana tu kihuni.Na ndio maana hata ukimuulize aliebomolewa basi jibu lake lazima liwe nusu.
Sasa kama mtu anahati,na wanasheria kibaooo kwa miaka hii,unaogopa kumpa pesa ili a trace uhalali wa eneo na mmiliki?
Tusiwe waoga,na hii bomoabomoa ya mji ndio itafanya Dar itanuke hadi Kibaha iwe ni Dar.Waoga mnaogopa kununua hao matajiri ndiow atanunua maeneo kibaoo miaka 5 iwe bei hashikiki kabisaaa
 
Jemeni kiwanja chenye hati mbweni mpiji 645sq mt 35m karibu na international school. Unahitaji? Tayari kina msingi
 
hapo kwenye namba tatu kwenye hizo heka 4,,awezi huza hizo hekali 4 kwa kukatakata yaani kupima mfn 20*20 labda akauza ml 8 hv

kaka hali ngumu sana unapoiongelea hyo ml 35,,

just ushauri tu
 
Tukubali au tukatae lakini ukweli ni kuwa pesa ya Tanzania haina thamani kabisa
 
Back
Top Bottom