Ni kweli ndugu bidhaa nyingi tunazoletewa kutoka nje au ata apa apa kwetu ni chini ya viwango ila kulingana na vipato vyetu vya kila siku hatuna budi kununua ivyo ivyo ili kukidhi mahitaji yetu.. Jaribu kuvuta taswira kwa yale maduka yenye bidhaa halisia mara nyingi wanunuaji ni wachache mnooo...
Bidhaa halisia mara nyingi ni ghalama sana na wengi wetu wenye kuhitaji izo bidhaa tunashindwa kuafford costs na ndio maana wauzaji nao wameamua kutuletea bidhaa zisizo na ubora kulingana na vipato vyetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.