Recent content by kunyala4

  1. kunyala4

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Mkuu Nina tatizo la kiuno kuuma Kama kuwaka moto hivi kwa muda,ambapo muda mwingine kinatulia lakina muda mwingine knauma hasa wakati nikiea nimekaa.
  2. kunyala4

    Uasi dhidi ya Nyerere 1964 by Joseph Mihangwa

    Swali, wanajiolojia shughuli zao kuu ni zipi pia wanaweza kujiali kivipi na wapi?
  3. kunyala4

    Kifurushi cha siku 7: Je, mtani huu mziki anauweza?

    Mlicheza na wabovu tyu
  4. kunyala4

    Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

    Mimi sizani kama jamaa atafanya Kama mmarekani anavodhani kwa sababu Putin anajiamin na isitoshe ICC Mara nyingi inawakabiri sana viongozi wa afrika mf Uhuru Kenyatta mwaka 2013
  5. kunyala4

    Wachina wanaongoza kwa uchafu

    Weka watu wa kufanya usafi ama vipi waambie wawe wanafanya usafi
Back
Top Bottom