Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.
Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili...
Kiongozi ukiachilia mbali rafu na rushwa ambazo zinaweza zikamfanya mtu aingie haraka kwenye ajira ila kwa upande mwingine kutokana na mfumo wa elimu yetu GPA na vipimo vingine tunavovitumia katika kupima uwezo wa mwanafunzi umeshindwa kabisa kutoa hali halisi ya uwezo wa mwanafunzi hususan...
Habari,
Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo;
Muislam
Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini
Awe mfupi wakati(150-170cm)
Akiwa mmakonde itapendeza zaidi
Pesa isiwe kipaumbele kwake
Mpole kidogo
18-25yrs
Asiwe na mtoto
Muwazi
Hajawahi kuolewa
Muelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.