Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Mkuu wangu hapa chamazi ni familia ya kambare kila mtu ni tembo wanakamata watu majumbani kwao na mgambo wanawatishia polisi na wala hawawapeleki mfano juzi wamemkamata mdada anaumwa Ulcers na katoka hospital na dawa zake wamemfungia ndani toka saa 4 mpk saa 10 akazidiwa aka collapse wakampeleka...
Habarini wakuu, nina kero kuhusu ofisi za Kata ya Chamazi Magengeni zamani kilipokuwa kituo kidogo cha polisi.
Majuzi wamekuwa wakikamata watu hasa wakina mama wanawachukua na bajaji mpaka kata wanawafungia ofisini wanaambiwa watoe elfu 36 za usafi, ukiuliza kosa unaambiwa hujalipa ada ya taka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.