Recent content by kunena

  1. kunena

    Hili jambo limenipa utata kuhusu bima ya NHIF.

    Watoa huduma wanafanya uhuni kuwapiga hela. Double costing sababu NHIF bei ya hivyo vitu wameinclude kwenye procedure. Haiwezekani Bima iweze kugharamia huduma kama dialysis hlf ishindwe kukulipia cannula
  2. kunena

    Dkt. Janabi na Wanaharakati wa Afya tuache upotoshaji. Nchi ina tatizo kubwa la Utapiamlo na sio uzito wala unene

    Mkuu, hoja yako ya msingi ungeiweka kuwa unashauri Wizara ya Afya izidishe zaidi nguvu kukabiliana na changamoto ya Utapiamlo. Ukiweka hoja yako kusisitiza tuzidishe elimu kwa umma na jitihada nyingine za kukabiliana na Utapiamlo nitamuunga mkono. Upande mwingine unatakiwa kueleweshwa kuwa...
  3. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Huyo Gwajima lipi la maana amefanya akiwa NKM Tamisemi, na alipokuwa Wizara ya Afya. Rekodi ya utendaji wa Ummy, takwimu zinajulikana na kutambulika na watu wote ndani ya Wizara, sekta na Wadau wa Maendeleo.
  4. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Sasa kwenye hizo kesi ulizotaja Ummy anaingiaje? Yani daktari afanye uzembe huko kutokana na tamaa yake ya rushwa au kutofuata misingi ya maadili ya taaluma yake halafu aje kulaumiwa Waziri seriously? Shida yetu Watanzania tumeenda shule lakini hatujaelimika.
  5. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Sikatai changamoto zipo ila sio za Ummy. Hao wafawidhi na viongozi wa huko na madaktari wanachukua hatua gani? Umesema hapo juu wanafanya upasuaji vibaya ili warudie wapate hela japo sina hakika, sasa hapa analaumiwaje Ummy na sio hao madaktari ndio wakuchukuliwa hatua?
  6. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Je wewe pia unalipwa kusema haya? Ufujaji wa fedha unaweza kuusema hapa na kuweka ushahidi (usiniambie MMM kasema). Wajawazito gani wanakufa? Maana takwimu zinaonyesha vifo vimeshuka toka 584 mwaka 2018 hadi vifo 104 kwa kila vizazi 100,000 mwaka 2022. Sekeseke la private hospital kuhusu nini...
  7. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Pia FYI hakuna Bima iliyofutwa ni utaratibu wa kuchangia umebadilika kutokana na ustahimilivu wa mfuko. Ni suala ya sayansi inayohitaji upewe shule na wataalam ndio utaelewa sio wapiga kelele wa mtandaoni
  8. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Ni dem ndio maana ana hasira na mwanamke mwenzie. Adui wa mwanamke ni mwanamke
  9. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Mkuu hata wewe uache uchawa wa MMM. Sababu yale anayoandika huyo mtu wako ni hearsays na maneno ya kuokoteza haweki evidence yoyote. He is just saying. Pia cha kukushauri usikubali kuwa nyumbu wa mtu, jifunze na wewe kusoma na kuchambua vitu usilishwe tu kama tabularasa
  10. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Unaonekana una hasira sana na Ummy mligongana wapi mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Ok Ummy amestructure muundo wa Wizara sina haja ya kukufafanulia in details. Unakumbuka alipokua Gwajima alipotuingiza kwenye nyungu, takwimu za afua za UVIKO-19 zilipokwama, Ummy ndie aliyekuja na mikakati ya kuziinua mpk Tanzania tukashika namba 2 Afrika kwa kufanya vizuri. We tukana kwa...
  12. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Hebu sema kosa moja la Ummy hapa.
  13. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Anacheza na Afya za watanzania yeye ndio anatibu?
  14. kunena

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Mtu yoyote anaweza kusema haya. Huu ni uzushi, JK hakuwa na uwezo wa kuinfluence maamuzi ya JPM, kila mtu anajua hilo hata hiyo Ummy anajua kuwa hakuna kosa angefanya kama kumuomba JK amlobby JPM. Acha wivu na husda kwa mwanamke mwenzio. Ukweli hakuna Waziri amewahi kuimudu hii sekta kama Ummy...
Back
Top Bottom