Recent content by kumeza

  1. kumeza

    Waziri Mkuu Pinda na Samweli Sitta wanamhujumu Rais Kikwete

    PINDA, SITTA WAENDELEA KUMUHUJUMU JK Leo mgomo wa madereva wa mabasi na madaladala umeingia siku ya pili ukiendelea kupeleka mateso, maumivu, karaha na majuto yale yale kama ya jana kwa Wananchi. Mgomo huu unaofanywa na madereva wenye lengo la kupeleka vilio vyao kwa serikali kwenda kusoma na...
  2. kumeza

    Waziri Mkuu Pinda na Samweli Sitta wanamhujumu Rais Kikwete

    PINDA, SITTA WAENDELEA KUMUHUJUMU JK Leo mgomo wa madereva wa mabasi na madaladala umeingia siku ya pili ukiendelea kupeleka mateso, maumivu, karaha na majuto yale yale kama ya jana kwa Wananchi. Mgomo huu unaofanywa na madereva kupeleka vilio vya kwa serikali kwenda kusona na kutoa laki 5...
  3. kumeza

    Wafanyabiashara acheni kutumiwa na wanasiasa

    WAFANYABIASHARA ACHENI KUTUMIWA NA WANASIASA KUENDESHA MIGOMO YA KUFUNGA MADUKA Na Happiness Katabazi KWA zaidi ya miezi nane sasa baadhi ya wafanyabiashara wenye maduka katika mikoa mbalimbali wamekuwa wakigoma kufungua maduka yao kwa madai mapya kila awamu wanayogoma. Mgomo wa kwanza...
  4. kumeza

    Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

    UTAFITI MPYA LOWASSA AWATIMULIA VUMBI MEMBE NA PINDA Matokeo ya utafiti mpya uliofanywa na taaaisi ya Positive Thinkers Tanzania na kutangazwa leo tarehe 29/03/2015 umezidi kumuweka kada wa CCM Mhe.EDWARD NGOYAI LOWASSA katika vilele vya kukubalika kwa makundi yote nchini kuelekea...
  5. kumeza

    Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Nape unatumika Nape unatumikia kundi la wanaokutuma na sio Chama cha Mapinduzi. Nape inatosha kwa Lowassa,Nape bakisha maneno,Nape kwa nini unakosa hofu ya Mungu kwa kuhakikisha wanaokutuma unawafurahisha na kumuumiza Lowassa,Nape bila aibu unasingizia Lowassa anawapa watu vyakula na kuwapa...
  6. kumeza

    Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa serikali kutaka Waziri wa Ujenzi, Dk. John PombeMagufuli achunguzwe, uozo zaidi katika wizara hiyo umezidi kugundulika. Magufulimwenye doa kubwa katika sakata la uuzaji wa nyumba za serikali amerekodiwa marakadhaa akiwa anachukuwa fedha za rushwa kwa baadhi...
Back
Top Bottom