Tunashukuru kwa sifa kwa watu wa kanda ya ziwa...na mimi naomba nitoe ninacho kijua kwa watu wa arusha moshi mpaka namanaga watu wa huko hawana imani sio wakarimu kabisa wachoyo kama wakenya hawajali wageni wao ni pesa tu mbele..ninavyo waona mimi wame adapt life ya wakenya ..badilikeni bhana...
Kuliko kuuliza somali na siria kwanini usiulize wasukuma na makabila mengi tu ya hapa tz wanachamba vp....kingine unaposhangaa watu wanao chamba na toilet p na hawagusi hayo mavi..kwanini usiwashangae asilimia kubwa ya wa tz wanachamba na maji lakini hawaoshi mikono yao nasabuni baada ya hapo...
Utakuja amka si mda mrefu..kubali nchi ilioza na watu walikuwa wana spend pesa za serikali bila mipaka.magufuli kafanya mengi sana ni takupa moja tu la msingi ka kata mirija yoote ya unyonyaji wa fedha za umma ndio maana wengi wana tapatapa na kuita maisha magumu kwa hilo BIG UP MAGUFULI...
Kwani kuosha viombo na kupokea mshahara mkubwa na kukaa oficin na phd yako na ukapokea madafu yasio kidhi hata mahitaji yako yupi bora. Unapenda sana uwe na hii bahati ya kubeba mabox au kuosha viombo.
Ingia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu
Acha kuwa na roho mbaya kijana wacha na wenzako wakatafute bahati zao...anaye lea wazee ulaya ana mshahara mzuri kuliko mwenye phd bongo au hata zaidi ya raisi wa bongo. Kama wewe unamaisha magumu ni kwa sababu huna sheria inayokuruhusu kufanya kazi ulaya ndio maana unabangaiza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.