Tuko duniani kujifunza tu.
Ni hivi,mwanadamu ni muunganiko wa vitu vitatu( Roho,nafsi na mwili).Roho umaanisha ufahamu,nafsi utambulisho na mwili ndo hii minyama nyama.
Roho(Ufahamu)huweza kuwa katika hali mbili(hali kamili na hali isoyo kamili).
Ili roho( ufahamu) uweze kufikia ukamilifu wake...
Kabla ya kwenda mbali zaidi,kwanza unatakiwa kuelewa tofauti kati ya JINSI NA JINSIA( SEX AND GENDER).
Kibiblia ukidoma soma mwanzo 5,mstari wa kwanza hadi wa pili utapata mwanga na ufahamu zaidi juu ya ulichouliza.
Kisayansi iko wazi kabisa mana hata topic ya reproduction ya kidato cha tatu...
Uelewa wako wa neno KARMA hauko sawa.
Ili kuelewa karma unapaswa kuelewa mambo matatu ya msingi( kanuni tatu):
1.KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO( CAUSE AND EFFECT)
2.KANUNI YA MABADILIKO( LAW OF IMPERMANENCE)
3.KANUNI YA VYANZO TEGEMEZI( DEPENDENT ORIGINATION)
Kwa namna ulivyozungumza ni wazi kuwa...
Ubudha unafafanua vyema sana juu ya faida na hasara ya kula nyama na umeenda mbali zaidi na kuainisha vigezo ambavyo vinamiwezesha mtu kula nyama na aina ya nyama ambayo inaweza kulowa na mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.