Recent content by Kumboi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

    Hii Id ina vinasaba na mwezi wa kwanza kuanzia kumchukia mwendazake kusifia kipindi yupo nishati kuamasisha maandamano baada ya kukatwa ubunge.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

    Alikuwa anapiga mapambio hapa sijui kilitokea nini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Huyu hapa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi July 2022 tu, Tanapa yakusanya mapato ya Bilioni 47 kutokana na Utalii

    Mwingine wa Chadema huyu na october ndio alikuwa kidedea humu kuchochea uasi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

    Wafuasi wa Chadema mlikuwa na matumani makubwa sana kwa mama.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mimi Watanzania wananipenda sana, tatizo hii Mitandao inapotosha na hii ni kazi ya kakikundi kadogo ka watu wabaya

    Kumbe kupiga kelele kwako kote humu na kujiona mjuaji kumbe ni chawa wa mwenyekiti !!! Bure kabisa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Makubi yupo Benjamin Mkapa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kuweka token za luku ni wa kijinga, duni na unaleta usumbufu

    Hii TANESCO wametangaza sana labda hukubatika kufikiwa na hii taarifa kama unavyozipata za siasa kwa wakati it's about interest ya habari.
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Umeruka ruka Magufuli Magufuli kila mada walengwa wamekushitukia kumbe ni CCM kambi tofauti na Magufuli
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Jamaa ameshindwa kuelewa kwamba viongozi wandamizi karibia wote wapo karibu sana na mama au yule jamaa mstaafu adui wao alikuwa mwendazake naona TAL ndiye kagoma kuelewa somo
  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Wote hao wawili ni marafiki wakubwa wa mama mmoja hadi siku ya kuzaliwa mwanaye aliudhuria,huyo mwingine kuna nyuzi humu zinamuomba ahamie huko.
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    Mkuu stephano huyu Mzeru ana unasaba na Dr Mzeru mmbunge mstaafu?
Back
Top Bottom