Recent content by Kumakwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ng’ombe 200 wachinjwa kwa ajili ya wananchi wa Arusha kumsindikiza Makonda kuchukua fomu

    Ng'ombe wanaangamia bila hatia
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi wa watia nia Ubunge Zanzibar wazalisha Umwinyi, watoto 4 wa Rais Mwinyi kupitishwa imekaaje?

    Sifa gani zinahitajika zaidi ya kujua kusoma na kuandika
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi huu umati wa mashabiki wa Yanga uliosimamisha Uwanja wa Ndege na Dar es Salaam, ulikuwa na kibali cha Polisi kuandamana?

    Murilo alisema atayevurga maandamano ya Yanga atapata taabu sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

    Watanganyika wanakataa siku Yao ya uhuru hawataki kutaja Jina Tanganyka kabisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

    Watu mna wivu sana hamtaki watoto wenu wabadili mazingira. Unataka muda wote wakae huko buza tu. Lakini hapo Posta hasa eneo la bunge primary kuna nini cha maana ambacho kitazuia watu wasifanye kazi zao. Kwangu naona hapo watoto wanapata exposure na kuwapa motivation
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Una mke kwanza tuanzie hapo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Acheni propaganda haisaidii kitu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

    Na wewe umekubali kabisa kupewa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    Tabia za ajabu sana eti kila siku kupigiana simu kama sina shida ya mhimu hata sipigi simu ya nini?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Hiyo itakaa sawa maana hata mke wangu alivyopata mimba ya kwanza kila alichokuwa anakula ni kutapika ikafikia tukawa tunalala na ndoo pembeni, ikaenda mbali zaidi akawa anatapika mpaka damu. Alikonda mpaka akakosa nguo ya kuvaa hii hali ilinichanganya sana . Ila baada ya miezi minne alianza...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema ni kujiongezea majukumu yasiyokuwa ya lazima

    Kwa kweli maana hata mimi kile kiwango nilichokuwa namwaga sasa hivi ni tofauti kabisa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Yani wanaume tumeumbiwa matesoa yani fikiria hii mada tayari imeishamtanguliza mwanaume mautini mapema
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Serikali ina mambo mengi sana ya kufanya itoshe hata shule zake bado ziko katika hali mbaya zinahitaji msaada
  14. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA watoa Orodha ya Matukio yanayoendelea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    Kwanza utaratibu mbovu sana wa kupiga kura maana hawakuwambia watu kipindindi wanajiandikisha wakariri sirial namba zao hii imepelekea watu kufika kituoni kushindwa kupiga kura
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

    Chukua mtoto mbona naona ipo sahihi
Back
Top Bottom